Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
MADELEKA soma hiyo, najua wewe ni member mwaminifu humuNinakuona una akili Kubwa na Huru, japo baadhi ya Nyakati, Maisha ya Kisiasa na fujo zake zinakuondoa katika Mstari.
Sasa basi, Wagombea Ubunge kupitia CHADEMA Uchaguzi ujao ( si lazima tufike 2030).
Watakua ni wale waliohusika Kujenga Chama katika kipindi hiki kigumu.
Kwa Lissu na Heche, Hatatokea yoyote from nowhere apewe Nafasi ya kuwania Ubunge, wakati Chama kilipokua katika Shoruba, hakua sehem yetu.
Huo ujinga na ujuha, ni WA CCM na vyama chapa maandazi.
RAI YANGU...Kwa Mtanzania mwenye Nia ya kua Kiongozi kupitia CHADEMA, Anza kuwajibikia na kutimikia Chama, Hatutaruhusu walioumizwa na kupotezwa wakoswe nafasi za kugombea, HATUTARUHUSU HILO!!.
Ulichosena ni sahihi 100%Wafuasi mandazi wa hivi vyama mnachekesha sana.
Hawa wasio na agenda yoyote bali kupata ubunge wala siyo wa kuwatilia maanani.
Kaihama CDM kisa haishiriki uchaguzi,kakosa huko,arudi tena CDM?
Huu Uzi umeandika au umeandikiwa?Ninakuona una akili Kubwa na Huru, japo baadhi ya Nyakati, Maisha ya Kisiasa na fujo zake zinakuondoa katika Mstari.
Sasa basi, Wagombea Ubunge kupitia CHADEMA Uchaguzi ujao ( si lazima tufike 2030).
Watakua ni wale waliohusika Kujenga Chama katika kipindi hiki kigumu.
Kwa Lissu na Heche, Hatatokea yoyote from nowhere apewe Nafasi ya kuwania Ubunge, wakati Chama kilipokua katika Shoruba, hakua sehem yetu.
Huo ujinga na ujuha, ni WA CCM na vyama chapa maandazi.
RAI YANGU...Kwa Mtanzania mwenye Nia ya kua Kiongozi kupitia CHADEMA, Anza kuwajibikia na kutimikia Chama, Hatutaruhusu walioumizwa na kupotezwa wakoswe nafasi za kugombea, HATUTARUHUSU HILO!!.
Yale Yale anakuacha anaolewa kwingine, huko ameshapigwa Miti Sana, baadae anarudi kwako anasema anatupenda na wewe unaingia kichwa kichwaWafuasi mandazi wa hivi vyama mnachekesha sana.
Hawa wasio na agenda yoyote bali kupata ubunge wala siyo wa kuwatilia maanani.
Kaihama CDM kisa haishiriki uchaguzi,kakosa huko,arudi tena CDM?
CHADEMA imejibu!Madereka ni Mamluki hatakiwi Chadema
Hata ccm msaliti hapewi nafasiTusijimilikishe Chama, Kuna watu wamewah kuisaliti CHADEMA, Kurudi kwao, si lazima tuwape Nafasi zinazoruhusu wao kupata Taarifa nyeti za Chama
pwagu na pwaguzi kwenye hoja na mbili 🤣Madereka ni Mamluki hatakiwi Chadema
Suala siyo kujimilikisha chama, suala ni kuzuia watu wenye nia za kuhujumu chama. Mtu yoyote timamu anajua Madeleka ni pandikizi. Mke wake alishaitisha press conference na kueleza umma kwamba ameoteshwa kwamba January na Nape wasipobadilika, wataanguka kisiasa. Hii yote ilikuwa ni namna ya kuandaa WaTZ wasishangae Makamba na Nape wakiwekwa bench. Muangalie anavyomuongelea SSH, just read btn the line uone. Chama ni cha kila mtu, ila siyo cha Wahujumu mageuziTusijimilikishe Chama, Kuna watu wamewah kuisaliti CHADEMA, Kurudi kwao, si lazima tuwape Nafasi zinazoruhusu wao kupata Taarifa nyeti za Chama