Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi hii nichukue bodaboda.🙌😄😄
amekunywa kupita kiasi?Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako
Sawa mnywa pepsi hongera mwaka huu umepata dividend ya 1mill $...Malevi bwana yanajionaga ya maana na yanafanya kitu cha maana😜😀😅😅?
Hyo afya yako unataka ukamringishie nani mbinguni?Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako
Nimewaonaaa... Nimewaonaaa [emoji23]Kuna vijana wanywa mirinda watakuja kutoa povu
Arrived safely[emoji4]
Nipe location kesho tuonane tulijadili hiliPiga sijui huu msimo was kunwagilia moyo Nani akaanzisha siupendi kbsa ingawa mm pia nimtumiaje wa k vanga na kilimanjaro
Mwache amwagilie moyo mbinguni hatuendi kufanya mitihani [emoji23]Mkuu acha kunywa k vant inapotezesha kumbukumbu!
Kwenye hiyo glass kumemis ice na kandimu tu..[emoji16]
Atasahau hata njia ya kwenda mbinguni.. hiyo glass inatakiwa itoe kajashojasho fulani hivi..😂Mwache amwagilie moyo mbinguni hatuendi kufanya mitihani [emoji23]
Mbinguni hatuendi na miguu [emoji23]Atasahau hata njia ya kwenda mbinguni.. hiyo glass inatakiwa itoe kajashojasho fulani hivi..[emoji23]