Kaka na dada wa kuzaliwa wakataliwa kuishi pamoja kinyumba kama mke na mume

Kaka na dada wa kuzaliwa wakataliwa kuishi pamoja kinyumba kama mke na mume

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,278
Reaction score
1,794
Raia wawili wa ujerumani wamekataliwa kuishi pamoja na mahakama ya haki za binaadamu ya umoja wa Ulaya.

Watu hao ambao wana uhusiano wa muda mrefu na ambao tayari wana watoto wanne, wawili wakiwa ni walemavu wanataka kutambulika kama wapenzi wengine ili wapate kuendelea kuishi pamoja na kupata haki zote za wanandoa.

Kwa taarifa zaidi tembelea bbc.co.uk
 
Dah kama wameshazaa sasa kwanini wawakatalie?
Wawaache tu wawatunze watoto wao coz kwa hakuna jipya tena
 
Huko wanaenda kwa meli, kama imeondoka piga mbizi tu.

Ubungo wanaishia bb. C

hawafiki o,uk

nikitaka kutembelea bbc.co.uk napandia basi wapi? Maana niko hapa Ubungo, naona jamaa hawanielewi.
 
Wazungu wanazua balaa kila siku.
Walianza wanaume kwa wanaume
Wanawake kwa wanawake
Ndugu wa tumbo moja
Ooh God save us
 
Back
Top Bottom