Mimi kuna wengine nawafahamu sasa ni watu wazima wameona mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo baba zao ni tumbo moja ,jamaa walianza mchezo wakiwa shuleni ,walipogunduliwa wakaonywa ,lakini wapi wakaamua kupeana mimba,mbali ya kuonywa sana,mwishowe ikabidi wazazi wakubali yaishe wakaooana na mpaka sasa wana watoto wakubwa tu,hcho kituko kiliacha gumzo kubwa kwenye kitongoji cha Itunge kule Kyela ,ilikuwa miaka ya kwenye 80 hivi na hao waliooana ni kati ya familia zilizokuwa na majina na maarufa sana huko Itunge,kwa muda walikuwa wanaishi Tabata,kwa hiyo haya mambo hutokea ,lakini kama mimi binafsi naona kwa kweli kwa kufanya hivyo,waathirika ni watoto ambao watajua kumbe baba na mama ni mtu na dada yake sasa sijui inaleta picha gani kwa watoto,si ajabu nao watakuja oana kaka na dada kwani si wataona mbona baba na mama nao walioana