Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Kwa waswahili ni tabu na itaonekana kioja
ila kwa waarab kawaida sana
ndo maana naipenda jf...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa waswahili ni tabu na itaonekana kioja
ila kwa waarab kawaida sana
hao si kaka na dada, ni binamu
Mtoto wa Mama Mkubwa na Mama Mdogo SIYO Kaka na Dada! Hawa wanamegana bila matatizo!
Kama ni mabinamu basi hamna tatizo maana waswahili wanasema "Binamu nyama ya hamu".
hivu kuna maandiko yanakataza hilo?...huyo aliyempa mimba mwanafunzi sheria ichukue mkondo wake...
hv ni halali kwa ndugu kama hao kuoana?
Waoane ila kwa dini ya kikristo sijui utaratibu ukoje maana hao ni ndugu. Mwenye kujua zaidi atujuze na je kama ndoa itashindikana mtoto atakuwa wa nani yaani babake