Kaka na Dada zangu acheni uchawi, hakuna mahala utawafikisha

Kaka na Dada zangu acheni uchawi, hakuna mahala utawafikisha

PROFOUND NOTION

Senior Member
Joined
Nov 3, 2022
Posts
138
Reaction score
374
UCHAWI UPO;

Asili yake ni kukufumbaza ili uone kama unakufanikisha ila kaisili unakula Aura, Nafsi na kizazi chako.

Asili ya uchawi ni maangamizi, utakupa vipesa vya kwenye bishara yako lakini utalipa kwa damu yako au wanaonganika na wewe.

Asili ya uchawi ni uharibifu utakuponesha ugonjwa wako lakini utachukua sehemu ya maisha yako bila kujijua.

Tunajiingiza katika minyororo itakayotufunga milele bila kujijua kww vidaawa vidawwa ambavyo tunapata kwa waganga.

Tunalipa kwa damu kwa kuchanjwa chanjwa, wewe unaona wembe ila unlliwengu wa roho ni panga imeua sehemu ya nafsi yako, kwa hio utatembea kwa kiwango kile ambacho agano ulilounganishwa nalo utakavyotaka na agano hilo litachukua chochote kile watakacho kwako au watoto wako.
 
Maandiko katika agano la kale yalisema Usimuache mwanamke mchawi aendelee kuishi.🤣🤣 Walimu na wachungaji watatufafanulia.
 
Back
Top Bottom