Kaka ni "Hensamu" lakini ni mchoyo!

Kaka ni "Hensamu" lakini ni mchoyo!

Uchoyo unachangia na uchumi kutokukaa sawa.Mfano mdogo,labda kwenu mko 10 na kuna unga nusu kilo,ni nani atakuwa wa kwanza kula ugali?
 
Bukoba moja hio. .sina hamu nao hao 3 years Nimefanya kazi kule jamani jamani ni wabinafsiiiii. .hawapendi wanyamahanga wawazidi kitu au wafanikiwe. .hio misifa sasa!
wako na bwetwale mno mno
chonka NAKWEDE wagamba mazima

Cc Smart911
Yaani ni wachoyo hadi kero. Kuna mmoja nilisoma naye wakati nasoma kozi yangu ya hoteli menejimenti, yaani yule dada huwezi kuamini hata tukiwa tunafanya discussion, yule dada hata akiona mnaingia chaka, ananyamaza tu, hataki kutoa mchango wake sahihi ili mradi afaulu yeye mwenyewe!
 
swala la kuwa mchoyo au kutokuwa mchoyo hyo ni roho ya mtu tu! Haihusiani na kuwa hendsam na anaweza akawa yuko sahihi pia maana wanafahamiana na mnyimwa kuliko wewe, kwahiyo ana sababu zake
 
Yaani ni wachoyo hadi kero. Kuna mmoja nilisoma naye wakati nasoma kozi yangu ya hoteli menejimenti, yaani yule dada huwezi kuamini hata tukiwa tunafanya discussion, yule dada hata akiona mnaingia chaka, ananyamaza tu, hataki kutoa mchango wake sahihi ili mradi afaulu yeye mwenyewe!

sisi kwenye grupu letu walikuwepo watatu ayayayayayayayayaya walikua wajuaji mnooo ...wao ndo wanataka wadominate discussion points nzuri ni zao za wengine wanaona hamnaaaa ikafikia mahala wakaona wajitenge watengeneze grupu lao na watu wao wengine wanaowakubali wao mbaya zaidi wengi wao walikua in service afu wazee mambo mengiii. tehteh grupu letu kazi nyingi Tukawa tumawapitaaa hahahaha. ...

Jamaniii!!!!
 
Back
Top Bottom