Kaka Shaffih Dauda nimesoma andiko lako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani utopolo bana na akili zao za vyura
 
Bila shaka we ni kolo,huna unachojua kwenye mpira
😃😃🇳🇬😆😆 Si ndo maana nika kwambia niko na mtazamo tofauti 😆😆 mm ni mtu ambae natumia theories ktk kutatua tatizo sikurupuki na kuongea ongea bila research na strong examples .... Sasa tukikuuliza tuambie haji kachangia lipi ktk maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu zaid zaid ww utaishia kusema kaongeza amasa
Na huonmchango wa amasa hapa Tz yanga na simba amasaa zipo na zitaendelea kuwepo.

Akitaka kutu prove ana uwezo wa kuongeza amasa ya ushabiki ktk timu flani mwambie haji aende akaanze na timu ambayo haina jina let say Mbao fc, African sports , Ihefu fc, Mbeya Kwanza , akijiunga na izo timu aka ongeza amasa kwa izo timu watu tukapima na tuka ona ni kweli ana mchango wake moja kwa moja hapo na mm nitaungana na ww .....


Ila kwa sasa iv kaka , amsa za ivj vilabu viwili zinakuwa kubwa sababu ya FEDHAAAA za hawa madon, ...rejesha kumbukumbu yako nyuma zama Manji pale Utopolo...amasa ya Utopolo ilikuwa Kubwaaa fans walikuwa wanajitokezaa kama kawaidaa lkn tazama timu ilipo drop .... MANENO MATUPUHAYAJENGI,
 
Ficha upumbavu wako.

Kama hujaelewa jambo flani, uliza
 
Unaweza kuta huyu ni pisi ya mtu tena msomi tu.

Punguzeni mapenzi muwe mnasoma mnaelewa sio kulipuka tu dada
 
Aaah hapana bwana mkuu haiwezi kuwa kwa uandishi huo labda form 4 failure
Mkuu, umesahau Haji alivyokuwa amesema?
Alisema hata msomi mwenye ma phd yake, linapokuja suala la Yanga yake, basi anakuwa HAMNAZO! Tena, alitolea mfano kuwa, mtu anaweza kuwa ni daktari bingwa, anapasua moyo au jicho kitaalamu kabisa, lakini akija kwenye Yanga yake, utashangaa!
 
Katika hili hakuna shida kama kuna mtu kavunja sheria kupewa adhabu na sheria ni kwa wote haijalishi ukubwa wa mtu ila shida moja na TFF na hili sio mara ya kwanza imetokea huko nyuma, Kukomoana. Wana tabia hizi ni kama hizi mahakama zetu watu wanakuwa na mashaka tu na mienendo yao sababu ya history zao hili ndio shida. Kawaida adhabu inakuwa ndogo ikiwa mtu kakubali mashtaka nadhani na siongelei Haji tu kumfungia mtu iwe baada ya mtu yule kuwa hajirekebishi na ana hatarisha mpira nchi hii lakini makosa mengi hayahitaji kufungiana ukiondoa kupanga matokeo au kutoa rushwa haya mengine kuambiana tu na kila mtu lazima afuate sheria awe Rais wa TFF au mshabiki wa kawaida.
 
Kila la kheri timu ya Soka la Taifa la Somalia kwenye mechi yake ya leo na KARIA FC!
Nchi hii ina vituko sana, hivi Karia naye aliokotwa vichochoro gani?
Hivi Tenga haruhusiwi kugombea tena?
 
Jibu swali nililokuuliza acha umbumbumbu ,kolo wewe

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
nimekuita mpumbavu na sijakosea..Wewe hoja yako ya kwamba Manara Ni mkubwa kuliko Tff au mamlaka za soka ,wewe umetumia reference gani ya vifungu vya Sheria za tff au bodi ya ligi.

Wewe Ni mpumbavu fulani unataka kuaminisha watu una akili kumbe Ni empty set.

Punguza unyani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…