Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Mbumbumbu likiwa na hasira haya ndio matokeo yakekimsingi wewe Ni mpumbavu unaejaribu kuaminisha watu kuwa una weledi na uelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu likiwa na hasira haya ndio matokeo yakekimsingi wewe Ni mpumbavu unaejaribu kuaminisha watu kuwa una weledi na uelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani utopolo bana na akili zao za vyuraHoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.
Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.
Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.
Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.
Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.
Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?
Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]
Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
😃😃🇳🇬😆😆 Si ndo maana nika kwambia niko na mtazamo tofauti 😆😆 mm ni mtu ambae natumia theories ktk kutatua tatizo sikurupuki na kuongea ongea bila research na strong examples .... Sasa tukikuuliza tuambie haji kachangia lipi ktk maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu zaid zaid ww utaishia kusema kaongeza amasaBila shaka we ni kolo,huna unachojua kwenye mpira
Unaweza kuta huyu ni pisi ya mtu tena msomi tu.Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.
Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.
Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.
Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.
Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.
Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?
Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]
Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
Including mtoa mada, hahahaaaaManara alishasemagaaa ukimtoa mzee kikwete na baba yakee mzazii ,mashabikii wenginee wotee wa yanga waliobakii hawana akiliii
Labda msomi wa magazeti.Unaweza kuta mtoa mada nimsomi
Mkuu, umesahau Haji alivyokuwa amesema?Aaah hapana bwana mkuu haiwezi kuwa kwa uandishi huo labda form 4 failure
Nchi hii ina vituko sana, hivi Karia naye aliokotwa vichochoro gani?Kila la kheri timu ya Soka la Taifa la Somalia kwenye mechi yake ya leo na KARIA FC!
nimekuita mpumbavu na sijakosea..Wewe hoja yako ya kwamba Manara Ni mkubwa kuliko Tff au mamlaka za soka ,wewe umetumia reference gani ya vifungu vya Sheria za tff au bodi ya ligi.Jibu swali nililokuuliza acha umbumbumbu ,kolo wewe
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app