Kaka Shaffih Dauda nimesoma andiko lako

Kaka Shaffih Dauda nimesoma andiko lako

Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
Kumbe wewe kilaza kweli kama Haji Manara ana watu ndiyo anakuwa na kinga ya kutoshtakiwa akivunja Sheria? Kumbe Haji alikuwa sahihi kusema wanayanga wote nyie ni hamnazo yaani hamna akili timamu.
 
Yaani hadhi ya mtu au mchango wake iwe sababu ya sheria kutotenda sawa kwake akikosea sawa na wengine huu ni ujinga kabisa

Alifungiwa Blatter the big boss wa FIFA tena aliyekuwa kakaa ofisini kwa miaka 18 seuze huyu mhamasishaji?

Sheria ni msumeno unakata huku na huku hakuna namna ni kuenjoy hukumu tu
 
Shaffih Dauda ana mchango mkubwa sana kulinganisha na huyu domokaya

Shaffih ni mmoja ya waasisi wa Ndondo Cup, soka la kitaani ambalo kwa sasa lime endelea kuwa gumzo kwa sisi wapenzi wa mpira wa mtaani

Manara alijitokeza hadharani akakiri kumkosea Rais wa TFF, narudia tena AMEKIRI AMEFANYA MAKOSA hvyo wacha sheria ichukue mkondo wake
 
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
Huna AKILI.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Manara ni kama Lowassa ama Mbowe kwenye siasa za Tanzania.Kario amejitafutia bomu la nuke,Sasa hivi ni kumuondoa tff na ataondoka.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
kwahiyo linapokuja suala la Sheria , Kuna Sheria spesho kwa ajili ya Manara. Kwasababu yeye ni wa kipekee ktk mpira wa Tanzania. Ndicho ulichomaanisha na unajiona uko SAHIHI na Shaffih Dauda haelewi.
 
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
Tatizo umeweka uyanga mbele.hata andiko hukulisoma vizuri, maana.ungetulia ukalisoma usingekuja kujiaibisha hapa.
 
Nikifanya reference kwenye suala la Ndondo cup na umuhimu wake, ninaungana na wewe kukiri kuwa Manara halingani hadhi na Dauda. Dauda ni far more superior kwa Manara mara elfu. Manara hana hata robo ya hadhi ya Dauda.
Mwambie
 
Hoja yako ingekuwa na nguvu sana kama ungekuwa unamzungumzia mtu anayefanana naye kihadhi katika Mpira wa Tanzania.

Najua unalazimisha sana ionekane Hajji ni wa hadhi sawa na wewe au na hao wengine uliowatolea mfano.

Mimi ninakwambia hapana wa kufanana na Hajji linapokuja suala la soka la Tanzania na hasa kwa upande wa kazi anayofanya iliyompa heshima kubwa sana ndani na nje ya Tanzania.

Wewe umefungiwa miaka mitano na hakuna aliyejitokeza kukutetea, hata yule Chief wa Kauzu na watu wake walikaa kimya[emoji1787][emoji1787]inatosha kukuthibitishia kwamba huna athari kwenye Mpira wetu, hakuna anayeona pengo lako, na ndio ukweli wenyewe.

Vivyo hivyo kwa hao wengine unaowatumia kama kielelezo kusapoti hoja yako.

Ebu nikuulize swali jepesi tu, kwani baada ya wewe kufungwa ulitarajia sisi wana Yanga kwa Umoja wetu tujitokeze kukutetea, kwa lipi ulilotufanyia jema hata tuguswe kwa kufungiwa kwako!?

Brother kama huna watu kubali hayo Ndiyo Majaaliwa yako[emoji1787][emoji1787]

Mwenzio Manara ana watu ndo hao wanaokushangaza kujitokeza kumlilia Mtu wao, we vipiiii?? [emoji23] [emoji23]
Manara ni Icon Kaka,
MANARA ni package,
Manara ni Almas, haifichikia chini ya Mawe,
Manara ni zaidi ya Manara unayemjua wewe au unavyomchukulia wewe.
Usifosi kufanana brother! [emoji23] [emoji23]
Natofautiana na ww kimtazamo, mm nafikiri Shafii ana mchango mkunwa ktk soka la Tz , yaan wakisema walinganishwe kiutendaji na key achievement

Shafii amefanikisha uibuliwaji wa vibaji toka mtaan kabisa kupitia mashindano ya ndondo cup

Digala ana mchango wa kuwapa dursa wachezaji wa ki Tz ktk soka la magharibi .e.g. shafii ndio alifanikisha mchakato wa Sama goal kucheza EPL, Nova kucheza jupiter league BE

Haya ni mapigo mawili makubwa ambayo manara hatoweza kujipima kabisaa kabisaaa
 
Uzi huu ni rubbish! Moderator futilia mbali pumba kama hizi!
 
Natofautiana na ww kimtazamo, mm nafikiri Shafii ana mchango mkunwa ktk soka la Tz , yaan wakisema walinganishwe kiutendaji na key achievement

Shafii amefanikisha uibuliwaji wa vibaji toka mtaan kabisa kupitia mashindano ya ndondo cup

Digala ana mchango wa kuwapa dursa wachezaji wa ki Tz ktk soka la magharibi .e.g. shafii ndio alifanikisha mchakato wa Sama goal kucheza EPL, Nova kucheza jupiter league BE

Haya ni mapigo mawili makubwa ambayo manara hatoweza kujipima kabisaa kabisaaa
Bila shaka we ni kolo,huna unachojua kwenye mpira
 
Sawa
20220721_164406.jpg
 
Shaffih Dauda ana mchango mkubwa sana kulinganisha na huyu domokaya

Shaffih ni mmoja ya waasisi wa Ndondo Cup, soka la kitaani ambalo kwa sasa lime endelea kuwa gumzo kwa sisi wapenzi wa mpira wa mtaani

Manara alijitokeza hadharani akakiri kumkosea Rais wa TFF, narudia tena AMEKIRI AMEFANYA MAKOSA hvyo wacha sheria ichukue mkondo wake
Kabla ya ndondo hakukua na mashindano yanayoandaa vijana?we limbukeni wa mpira unadhani academy za mpira zimeanzishwa na shaffi?fatilieni vitu kabla ya kutopoka nyie makolo
 
Back
Top Bottom