Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Naona kama wamekuja kulipoteza bifu la wale vijana wa lunduno.....

Maana kila kona ni KAKA TUCHATI😂😂😂

Hivi vichwa vinajua kuumiza vichwa hasa kubuni vitu vipya vipya.
 
Mie shabiki ako wa Jf! Sipendi unavyojibiza na watu.... Jaribu kuwapotezea

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you for being my fan ubarikiwe, ila sasa mimi ni binadamu si malaika, moyo wangu ni wa nyama siyo chuma, mtu from nowhere anakuja kunishika sharubu na mwingine anafurahia no no siwezi kumvumilia hata kujibu tu, kama nimekosea nirekebishwe ila kejeli+ matusi hapana yanaudhi, thank you lakini ntajitahidi ,nikishindwa basi ndiyo hivo. Uwe na asubuhi njema rafiki.
 
Yes, wale jamaa wabunifu na wenye vipaji vya hali ya juu mjini wa kuitwa ROSTAM wamekuja na ngoma kali sana inayoenda kwa jina la 'kaka tuchati' zama you tube upate uhondo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeitikia wito wa kuja kuchati kumbe natangaziwa wimbo wa kigodoro!! 😕 😳😳😳🙁🙁
 
Mi nimeelewa sana kule mwishoni aliposema KOYU ZAKE MBOCHI
 
Back
Top Bottom