Kaka unafanya “Sikirabu''?!

Kaka unafanya “Sikirabu''?!

Wakifanyaga sikrabu huwa kuna pasenti wanapata kwenye hiyo hudumu nadhani ndio maana hukasirika pindi usipofanya hiyo sikrabu
 
Maeneo ya Sinza utasikia "Kaka nicusikirabu"...ukisema hapana, atakuambia..."Nywele zako zina mba nikuoshe na dawa"..utasikia kaa basi kwenye foleni ya ili usubiri kuoshwa kichwa...wakati mwingine huwa naondoka tu na nywele zangu...
Na olewako ukubali kufanyiwa hayo yote utajuta hyo bili utakayoletewa,...
dah wana mambo wale wadada asee!
 
Hawa wadada wa barber shops wanazingua sana!

Akikuuliza unafanya scrub ukamwambia hufanyi…

Na hizo huduma zao nyingine (mimi sio muumini wa hizo huduma) ukazipangua zote ,

Sana sana ukataka uoshwe tuu. Utaoshwa kwa hasira na minuno juu!

Kwani lazima!! Wengine waume za watu hawapendi kushikwashikwa na watu tofauti na wake zao!

Dawa yao naichemsha maana naona haka katabia kamezidi sasa!

Yani imenitokea Zaidi ya mara moja mtu unaoshwa kwa hasira as if umenyoa bure!!!
Duh! Pole sana kiongozi.
 
DAAAAAAAAAAAA WANABOA SANA HAO WADADA...BEI ZAO SASA,DUUUUUH
 
Alaf wakiwa wanakuuliza kama unafanya scrub huku wanakuangalia usoni as if una masinzi yanayotakiwa kusuguliwa.."
 
SIKU HIZI HAWAULIZI WENYEWE WANASAIDIWA NA VINYOZI MAANA TUMEZIDI KUWALIA BATI.UTASIKIA KINYOZI BRO SIKIRABU VIPI
 
mimi ninachojua mtu anaoga au kunawa..
sasa wewe unasema kuoshwa, kwani yanayooshwa si magari au maiti(yaani kitu kisicho na uhai)?
Wewe unanyolewa mwembeni na wamakonde
 
Back
Top Bottom