Kaka unafanya “Sikirabu''?!

Wakifanyaga sikrabu huwa kuna pasenti wanapata kwenye hiyo hudumu nadhani ndio maana hukasirika pindi usipofanya hiyo sikrabu
 
dah wana mambo wale wadada asee!
 
Duh! Pole sana kiongozi.
 
DAAAAAAAAAAAA WANABOA SANA HAO WADADA...BEI ZAO SASA,DUUUUUH
 
Alaf wakiwa wanakuuliza kama unafanya scrub huku wanakuangalia usoni as if una masinzi yanayotakiwa kusuguliwa.."
 
SIKU HIZI HAWAULIZI WENYEWE WANASAIDIWA NA VINYOZI MAANA TUMEZIDI KUWALIA BATI.UTASIKIA KINYOZI BRO SIKIRABU VIPI
 
mimi ninachojua mtu anaoga au kunawa..
sasa wewe unasema kuoshwa, kwani yanayooshwa si magari au maiti(yaani kitu kisicho na uhai)?
Wewe unanyolewa mwembeni na wamakonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…