Kaka unafanya “Sikirabu''?!

sisi tunao nyoa kwa vinyozi hatuna hiyo mambo. shauri yenu mnaoenda barber shop.
 
Me hao wamesababisha niwe nanyoa kwa vinyozi wale wa chini ya mti
 
Nazichukia sana hizi salon za sasa hivi, tulishazoe ukinyoa unapakwa after shave yako unatambaa. Mdau wewe km mie huwa sifanyi hayo madudu yao sijui scrub, kuna siku nilifanyiwa like 4 yrs ago ngozi ya usoni after 4 days ikaanza banduka km ya nyoka. Ukiwakatalia utaona wananuna km wamekutafutia hiyo pesa yako, ikifika wakati Wa kunyoa huwa mpaka nakosa raha nikiwakumbuka hao Wa Dada saluni. Halafu Mara nyingi hunyoa jioni nnapotoka kazini nikijua baada ya halo naenda kuoga lkn hawa ma Dada Wa saluni no kero kubea saaana
 
Anachosema mlata mada ni kweli kabisa, ukikataa hizo huduma zao zingine wanakununia kweli mimi binafsi huwa sipendi kushikwa na hao wadada
 
Tutawaanzishia movement for change(M4C) wakizidi hahahaha
 
wanaume wa dar mna mambo mengi sana kila siku nyie ttu.
 
Hahahaha ni kweli kabisa mi mwenyewe huzipangua kabisa lazima wanune kabisa na wanakuona mshamba.. .
 
Utawauwa njaa wenzako... Hata mimi huwa nachukia vile wanavyolazimisha ununue huduma flani mathalani hiyo scrub...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…