Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
habari!Alooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari!Alooo
kama hataki kucheza je?Tatizo anazidiwa kila kitu na Vera, mtu kama Vera humtishi kwa fedha, ni kutumia mbinu zingine.
Angemnunulia maybe wine na kumletea wakanywa pamoja, wakacheza pamoja na kumpa maneno mazuri. Wanawake matajiri huwa wanataka vitu vidogovidogo.
Kama hataki chochote unaachana naye. Simple, hakuna kumpa attention mwanamke ambaye hakutaki.kama hataki kucheza je?
kama kajinunulia vinywaji vyake je?
woyoooooooooooooooo, nani? mimi?Pisi ina pesa zake, independent kama Madam Money Penny 😊
aghahahahahah, uuuwiSasa huyo wa bilion tatu kafanyiwa hivyo je sisi jobless tunaomiliki nguvu tu itakuwaje
si kapenda jaman!Kama hataki chochote unaachana naye. Simple, hakuna kumpa attention mwanamke ambaye hakutaki.
Unatafuta mwingine hapo. Then unacheza naye, unazungumza naye .
Pisi ina pesa zake, independent kama Madam Money Penny 😊
Sasa huyo wa bilion tatu kafanyiwa hivyo je sisi jobless tunaomiliki nguvu tu itakuwaje
Kama hataki chochote unaachana naye. Simple, hakuna kumpa attention mwanamke ambaye hakutaki.
Unatafuta mwingine hapo. Then unacheza naye, unazungumza naye .
Sikatai ila kuna muda lazima mwanaume asimame kama mwanaume. Mwanamke ukimbembeleza sana anakuona kama mjinga tu ndo maana mpare alivokuwa anambembeleza akawa Yuko na simu.si kapenda jaman!
Wote hawajui mahusiano ya mapenzi au hawakuwa na nia ya dhati. Unamrubuni mtu kwa mali na kipato chako au unatakiwa kuonesha jinsi gani unamjali, kumthamini na uhitaji wako wa kuwa naye? Ndio maana akaishiwa pumzi baada ya kuwekewa aina ya maisha. Ila angekuwa na nia ya dhati, angeelezea hisia zake tu.sa mbona ameniuliza mimi wap kakosea?
SAUWASikatai ila kuna muda lazima mwanaume asimame kama mwanaume. Mwanamke ukimbembeleza sana anakuona kama mjinga tu ndo maana mpare alivokuwa anambembeleza akawa Yuko na simu.
wanawake hasahasa hawa independent women wanakuwa attracted from the first sight, inabidi mwanaume awe na uwezo wa kumsoma mwanamke, kama hayuko attracted na appearance basi ukionyesha personality fulani anaweza kuwa attracted, kama haonyeshi unaachana naye.
KAJIPANGE TENAHuyu unamteka kihisia alafu akianza tu kuuliza unanipenda? Unajibu ndio huku unaangalia pembeni
GOOGLE UTAONAHivi mwaka 2014 exchange Rate na $ ilikuwa hiyo uliyoandika ?
we ungefanyaje labda?Wote hawajui mahusiano ya mapenzi au hawakuwa na nia ya dhati. Unamrubuni mtu kwa mali na kipato chako au unatakiwa kuonesha jinsi gani unamjali, kumthamini na uhitaji wako wa kuwa naye? Ndio maana akaishiwa pumzi baada ya kuwekewa aina ya maisha. Ila angekuwa na nia ya dhati, angeelezea hisia zake tu.
Bibie naye kamuonesha kuwa hana shida na pesa wala mali, na zaidi kwa kutokuwa na nia naye, kampa kadi ya biashara, sasa ujiulize, tuko kwenye biashara au mahusiano?
see you at the top manHajakosea kwa mtazamo wake ila kujinadi kwa hvyo pind unatongoza nikama utoto tu hapo hata hakutakiwa kueleza mali alizonazo hio njia washaitumia wanaume wengi tofaut angeenda kwa gear tofauti na hio angalau dem aliona hamna kila kitu anabwabwaja ndo maana kaamua amsomee watu wenye hela walivyo siajabu ukakuta hata huyo dem matumizi na hela alizoongea hana ila nivile aliamua kumuonesha mpare kuwa kibiliti kimejaa 😀