Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

Ni kweli kabisa lakini kuna watu wamejitoa ufahamu na kumsikiliza kwa sababu yeye ana PHD ya Mitusi ya Awamu ya Tano!
Really sad walahi!
Wanao msikiliza huyu kahaba ni wapuuzi kama alivyo yy.
 
Wewe hujajua kanuni za mapambano na harakati,wewe ni kama Bashite
Kanuni za kiharakati wanazijua wanaharakat sio yule kahaba mange.ndoa imemshinda sembuse uanaharakat
Screenshot_2018-03-04-20-22-22.jpg
 
Sasa anatuhumiwa kwa kutelekeza mtoto au?

Kama wanasema ametelekeza mtoto huo ni uonevu kabisa maana jamaa anaonekana ni kula kulala hata habari za wanawake hajazijua
 
Hahahaha! Hili gazeti nimezisoma heading zake zote hapo nkalitafakariiiiiii... halifai hata kutawadhia. Yaani kazi yake ni kuisifia gvt hata kwenye upuuzi, kuwasifu wanaomtetea malaika mkuu, na kuwaponda maadui wa malaika mkuu! Wasomaji akina Bombay, ISIS, Jingalao, Magonjwa mtambuka, Rohombaya, etc...

Nyani Ngabu na Gentamycine sidhani na sitaki kuamini kama wanasoma huu upumbavu.
Lipo kama Tanzania daima eti?!
 
Hahahaha
 
Kamchezo kamekuwa katamu!Wanarudia tena na tena!
 
Huyu mwehu amwache mdogo wake,kutangulia kuona jua isiwe sababu,kila mtu ana haki ya kuchagua marafiki,yeye anamchagulia nani marafiki au anataka nae mdogo wake afanye yale anayoyafanya ,akitukane nae mdogo wake atukane ili ndio aonekana anapendana na dada yake,huyu ni mdogo wake na si mwanae,akitaka aabudiwe awaambia watoto wake ndio wamwambudu au hao waliomzalisha ndio wamwabudu.
 
Mange unapingwa mpaks na ndugu zako sababu ukosefu wa adabu.Laana hiyo
Ww ndg zako wanakuoenda wote? Dada yako akimpenda bwana na ww ni laxima umpende? Acha kutumia akili vibaya kama manager wa hiyo nembo ulioweka
 
Yani hili lijamaa bhana......sijui linakula nn......ona hapo lilipocheka manyama nyama yote yameenda kujaa shingoni
 
Sio Lisa lake bashite itakuwa alimtishia kumteka au kumbambikia kesi ya madawa
 
Back
Top Bottom