Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tena itakuwa type II mkuu.Msaidieni atakufa usingizini ana Obesity
Wenye RC wao kazi wanayo... Tena si ndogoRC kazi yake kuuza sura tuu
Hahaha wana magonjwa mengi sana huibuka wanapoanza kupata shidaKama yule muhindi rafiki wa Rugemarila..
Hajajua ameweka shingo kwenye kichinjio?Kaka mdogo wa mwanadada machachari katika mtandao wa Instagram, Bi. Mange Kimambi ameonekana akiwa ofisini kwa RC Makonda wakiwa na furaha kupitiliza.
Hii ni siku chache tu baada ya mwanadada huyo kutoa povu la kleesoft baada ya mdogo wake kuonekana na RC huyo ambaye ni hasimu wake mkuu.
Rejea: Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda
View attachment 747784