dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Lakini si wanatiwa hatiani?Hivi hizi kesi mbona zimekuwa nyingi sana kwa wanamziki wa kiiafrica? Waishio marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini si wanatiwa hatiani?Hivi hizi kesi mbona zimekuwa nyingi sana kwa wanamziki wa kiiafrica? Waishio marekani
Ulaya sheria ni kwa wote uwe tajiri,raisi nk we ni takataka TU mbele ya sheria.Hiyo issue ni ya siku nyingi sana akiwa "kafir" wanadai! Most likely alikimbilia kwenye dini in an attempt kujaribu kuficha makosa aliyojua yangekuja kumgharimu!
Bahati mbaya kwake ukisikia "jinai haifi" best case study ni Marekani; faili litafungwa only ukiingia kaburini. Hakuna mambo ya "hana nia ya kuendelea na kesi".
Shetani hakimbiwiHivi hizi kesi mbona zimekuwa nyingi sana kwa wanamziki wa kiiafrica? Waishio marekani
American women are out there to get an easy payday!What is going on aisee!!