Hiyo issue ni ya siku nyingi sana akiwa "kafir" wanadai! Most likely alikimbilia kwenye dini in an attempt kujaribu kuficha makosa aliyojua yangekuja kumgharimu!
Bahati mbaya kwake ukisikia "jinai haifi" best case study ni Marekani; faili litafungwa only ukiingia kaburini. Hakuna mambo ya "hana nia ya kuendelea na kesi".