Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."
Screenshot_20221218-134307_Facebook.jpg
 
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."View attachment 2450626
Waisilamu ni watu wa Amani? Umeandika kutoka moyoni kweli? Mwislamu mtu wa Amani?you must be joking kwahiyo Alshabab,ISIS,Al Qaeda na Boko Haram ni Amani hiyo?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Halafu huyo jamaa ni Mlokole pure kabisa
Yaan sio tu kwamba mkristo ni molokole ile ile wa kunena kwa lugha
Lkn yeye mwenyewe ameyasema hayo
Ni jambo la kifurahisha sana
Hvi sasa watajua
Kwani "ITAKAPOKUJA NUSRA YA ALLAH NA USHINDI UTAWAONA WATU WAKIINGIA KATIKA DINI YA ALLAH MAKUNDI KWA MAKUNDI
BASI NAWE TUBU DHAMBI ZAKO NA MUOMBE ALLAH MSAMAAHA
NA HAKIKA ALLAH NI MWINGI WA KUSAMEHE"
 
Usikalilishwe mkuu, hayo mengine ni siasa, M23 sio waislamu, kony sio Muislamu, Russia sio waislamu Ukuraini sio Waislamu Burma sio waislamu mkuu epuka kua victim wa western media propaganda uwe unachambua.
 
Historia inatoa taswira ya tofauti kabisa kuhusu hii hoja. Watu wa DINI ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na mikono yenye damu za maelfu kama siyo mamilioni ya raia wasio na hatia. Tangu kuanzishwa kwa dola la kwanza la Kiislamu (The Rashidun Caliphate) mnamo karne ya 7, hakuna amani yoyote ile ambayo ililetwa kwa watu ambao siyo waislamu.

Nabii wa waislamu, Mtume Muhammad alipigana vita zisizopungua tisini kwenye miaka yake ya mwisho ili kuweza kuunganisha ghuba nzima ya Uajemi (The Persian Gulf) kama dola moja la kiislamu. Warithi wake Khalifa Ab Bakr na Umar walianzisha vita dhidi ya madola kama Uajemi (The Sassanian Empire) na Rumi (The Eastern Roman Empire), kama mbinu za kupata ardhi na kueneza uislamu.

Wale waliovamiwa na majemedari wa vita wa kiislamu kama Al-Qaqa-Bin-Amar, Khalid Ibn Walid, Amar Ibn Alas, Ubadah n.k walipewa haya masharti magumu matatu. Mosi, jiunge na Uislamu (Convert to Islam), Pili, lipa Kodi (Pay the Jizya), na tatu, Uuawe (Death). Mnaposema Uislamu ni dini ya amani mnataka kutuambia nini labda: Hivi unadhani waislamu waliweza kutengeneza dola kubwa ambalo limeanzia kwenye mipaka ya Uchina (Tang China) hadi kufika Uhispania (Spain) kwa kuimba Kaswida na kutafuna tende ? Majambia, Mikuki, Damu na Farasi vilitumika.

Ukija kwa WAYAHUDI ndiyo usiseme, ukisoma BIBLIA unaweza ukaogopa. Hawa Torati yao inaruhusu kabisa kuua mtu kama sehemu ya Ibada. Hata BWANA YESU pamoja na mitume wake wa kanisa la kwanza hakuuwawa na wapagani, bali WAYAHUDI ambao ni wafia dini. Mtume Paulo kabla ya kuwa Mkristo alikuwa ni mmoja ya wauaji wakubwa wa kiyahudi kuwahi kutokea mnamo karne ya kwanza.

Ukitaka uthibitisho wa hili, nenda kajaribu kushindana na WAZAYUNI waliotokea Ulaya ndiyo utaona. Waarabu na ukichaa wao wote, walijaribu na walichokipata hawaamini mpaka leo hii. Yule ndugu yetu muimba muziki anayejiita "YE" walimfirishi Trilioni mbili na ndani ya usiku mmoja kisa aliwakosoa. Hapa kuna amani gani bwana wewe ?

WAKRISTO, hasa wale wenye macho ya bluu na wavaa rozari ndiyo wanaogopesha zaidi. Zingatia haya matukio waliowahi kuyafanya kwenye historia :
  • Theodosius Pogroms of Jews and Non-Christians.
  • The Urbanite Crusades in the Holy Land.
  • The Sacking of Constantinople by Crusaders.
  • The Spanish Inquisition.
  • The Massacre of Huguenots.
Wale wengine wanaojiita WAPROTESTANTI na WALOKOLE hawako nyuma nao hawako nyuma sana. Mambo waliyoyafanya kwa binadamu wenzao wenye ngozi nyeusi na nyekundu kule Marekani nadhani, mtu yoyote muungwana akiyafahamu lazima atazitazama hizi dini kwa jicho la kitofauti sana.

NB: Kiufupi watu wenye dini ni hatari mno kwa usalama na ustawi wa dunia.....
 
Waisilamu ni watu wa Amani? Umeandika kutoka moyoni kweli? Mwislamu mtu wa Amani?you must be joking kwahiyo Alshabab,ISIS,Al Qaeda na Boko Haram ni Amani hiyo?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Usihukumu waislam wote hao ni mapandikizi na wana agenda zao
Taja waislam jirani zako waliolipua ndugu zako kama hakuna basi uwe na amani kama wanavyokupa amani wao

Unaishi nao na unafanya nao kazi unapanda nao usafiri na unakula nao sehemu moja kama unayaona hayo na amani yao basi amini hilo

Hao Alshabab na wengine hebu nenda Somaliland na sio Somali ukaone alshabab walivyomalizwa yaani hakuna upumbavu kama huo tena Hargeisa

Wakiingia wanajulikana na wanakula shaba hadharani hawana ujinga huo kwani wamejua hawapiganii dini bali wametumwa hao
Tembea mkuu uone mimi nimefika huko na utashangaa Akina mama wanauza dhahabu sokoni kama nyanya na hakuna wa kuwaibia

Hebu chungulia hata YouTube au jisomee na achana na dhana na propaganda zao
Amani ipo sana ila kama ni mauaji kila mahali yapo hata zelensky sio sunni
 
Historia inatoa taswira ya tofauti kabisa kuhusu hii hoja. Watu wa DINI ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na mikono yenye damu za maelfu kama siyo mamilioni ya raia wasio na hatia. Tangu kuanzishwa kwa dola la kwanza la Kiislamu (The Rashidun Caliphate) mnamo karne ya 7, hakuna amani yoyote ile ambayo ililetwa kwa watu ambao siyo waislamu.

Nabii wa waislamu, Mtume Muhammad alipigana vita zisizopungua tisini kwenye miaka yake ya mwisho ili kuweza kuunganisha ghuba nzima ya Uajemi (The Persian Gulf) kama dola moja la kiislamu. Warithi wake Khalifa Ab Bakr na Umar walianzisha vita dhidi ya madola kama Uajemi (The Sassanian Empire) na Rumi (The Eastern Roman Empire), kama mbinu za kupata ardhi na kueneza uislamu.

Wale waliovamiwa na majemedari wa vita wa kiislamu kama Al-Qaqa-Bin-Amar, Khalid Ibn Walid, Amar Ibn Alas, Ubadah n.k walipewa haya masharti magumu matatu. Mosi, jiunge na Uislamu (Convert to Islam), Pili, lipa Kodi (Pay the Jizya), na tatu, Uuawe (Death). Mnaposema Uislamu ni dini ya amani mnataka kutuambia nini labda: Hivi unadhani waislamu waliweza kutengeneza dola kubwa ambalo limeanzia kwenye mipaka ya Uchina (Tang China) hadi kufika Uhispania (Spain) kwa kuimba Kaswida na kutafuna tende ? Majambia, Mikuki, Damu na Farasi vilitumika.

Ukija kwa WAYAHUDI ndiyo usiseme, ukisoma BIBLIA unaweza ukaogopa. Hawa Torati yao inaruhusu kabisa kuua mtu kama sehemu ya Ibada. Hata BWANA YESU pamoja na mitume wake wa kanisa la kwanza hakuuwawa na wapagani, bali WAYAHUDI ambao ni wafia dini. Mtume Paulo alikuwa ni mmoja ya wauaji wakubwa wa kiyahudi kuwahi kutokea mnamo karne ya kwanza.

Ukitaka uthibitisho wa hili, nenda kajaribu kushindana na WAZAYUNI waliotokea Ulaya ndiyo utaona. Waarabu na ukichaa wao wote, walijaribu na walichokipata hawaamini mpaka leo hii. Yule ndugu yetu muimba muziki anayejiita "YE" walimfirishi Trilioni mbili na ndani ya usiku mmoja kisa aliwakosoa. Hapa kuna amani gani bwana wewe ?

WAKRISTO, hasa wale wenye macho ya bluu na wavaa rozari ndiyo wanaogopesha zaidi. Zingatia haya matukio waliowahi kuyafanya kwenye historia :
  • Theodosius Pogroms of Jews and Non-Christians.
  • The Urbanite Crusades in the Holy Land.
  • The Sacking of Constantinople by Crusaders.
  • The Spanish Inquisition.
  • The Massacre of Huguenots.
Wale wengine wanaojiita WAPROTESTANTI na WALOKOLE hawako nyuma kabisa. Mambo waliyoyafanya kwa binadamu wenzao wenye ngozi nyeusi na nyekundu kule Marekani nadhani, mtu yoyote muungwana akiyafahamu lazima atazitazama hizi dini kwa jicho la kitofauti sana.

NB: Kiufupi watu wenye dini ni hatari mno kwa usalama na ustawi wa dunia.....
Well said lkn
Hii hapa ndio WAR COMMAND katika UISLAM
na vita vilipiganwa katika misiingi hiyo
Na maswahaba baaada KIFO cha mtume walifata misingi hiyo katika kueneza DINI
Na hayo ndio mafundisho katika UISLAM
jihad.jpg
 
Waisilamu ni watu wa Amani? Umeandika kutoka moyoni kweli? Mwislamu mtu wa Amani?you must be joking kwahiyo Alshabab,ISIS,Al Qaeda na Boko Haram ni Amani hiyo?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wakristo ni mashoga kwani huoni marekani, France ,German, uingereza wanavyotetea ushoga.

Na sisi tuseme ivyo kama point yako ilivyo sio?
 
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."View attachment 2450626
Anashuriwa aende mitaa ya boko haramu au kule kwa alshababu ndio aje alete mrejesho vzr.

Achana na hao qatar waliojivika ngozi ya kondoo ili wa host kombe la dunia..kwanza wengi ni waisharamu wanaishi umagharibi sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Halafu huyo jamaa ni Mlokole pure kabisa
Yaan sio tu kwamba mkristo ni molokole ile ile wa kunena kwa lugha
Lkn yeye mwenyewe ameyasema hayo
Ni jambo la kifurahisha sana
Hvi sasa watajua
Kwani "ITAKAPOKUJA NUSRA YA ALLAH NA USHINDI UTAWAONA WATU WAKIINGIA KATIKA DINI YA ALLAH MAKUNDI KWA MAKUNDI
BASI NAWE TUBU DHAMBI ZAKO NA MUOMBE ALLAH MSAMAAHA
NA HAKIKA ALLAH NI MWINGI WA KUSAMEHE"
Dini ya majini..bora ni kaabudu hata mbwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Usikalilishwe mkuu, hayo mengine ni siasa, M23 sio waislamu, kony sio Muislamu, Russia sio waislamu Ukuraini sio Waislamu Burma sio waislamu mkuu epuka kua victim wa western media propaganda uwe unachambua.
Hao ulio wataja hawapiganii wanachopigania magaidi..hao wako na political motives..hayo magaidi yenu yana ajenda ya kusika utawala wa sharia za kiislamu...fu..ck yu and them.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ushoga umezungumziwa vzr katika kurwani..kuwataka waume waziendee tupu za nyuma za wake zao kadri wanavyojiskia.

Kumbuka mku.ndu ni mku.ndu.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2450824
Mbona nyie mpaka mapapa wanasapot n dini yenu ulipoanzia huko uingereza ,Italy, na marekani wansapt ushoga , we na hao walioanzisha ukristo Nan anajua wakati we ni msukuma tu huelewi chochote?
 
Kwa upande wangu dini ya kiislamu ni nzuri na inamjenga mtu kuwa na hofu ya Mungu pamoja na nidhamu n.k

Ila mafundisho yao yamejikita kwenye kujikumbatia wao, Mafunzo yao yanazalisha chuki na ubaguzi kwa wengine au kutoshirikiana na wengine.
 
Back
Top Bottom