Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

Huwa mkuu sipendi kubishana mambo ya dini ila kwa heshima yako naomba nikujibu hili, baada ya mtume kuanzisha dola ya kiisilamu, ni waisilamu waliowatetea wayahudi na kuwaweka kwenye himaya yao, golden age ya waisilamu ni golden age ya wayahudi pia, wayahudi walishika nafasi mbalimbali kwenye hizi dola mpaka Salahudin anapigana vita vyote physician wake ni myahudi ambaye mpaka leo wayahudi wengi wanamuona kama best scholar wa middle age alikua akiitwa Maimon ama jina jengine Rambam
Mkuu nashukuru sana, na naomba nijibu hoja zako kama ifuatavyo.

Mosi, unachokifanya wewe tunaita kuchagua historia unayoona inaunga mkono hoja zako (Cherry Picking of history). Usiyoyakubali unayaweka pembeni. Katika somo la historia haya ni makosa makubwa.

Umetoa mifano miwili mikubwa kutetea Uislamu: Umezungumzia dola la Abbas (The Abbasid Caliphate) ambalo ndilo lilileta kipindi cha Neema kwa Uislamu (The Islamic Golden Age). Ukazungumzia tena kipindi cha Salahudin ambacho Wakristo na Wayahudi waliheshimika sana. Umenena vyema kabisa lakini umetupilia ukweli muhimu nje. Sifahamu lengo hasa la wewe kufanya hivi.

Huwezi kuzungumzia kipindi cha NEEMA (The Golden Age) bila kuzungumzia kipindi kilichokuwa kabla yake, kwasababu vipindi hivi vyote ndivyo vinaunda historia ya Uislamu. Umeliruka dola la Ummay (The Ummayad Caliphate) ambalo ni sehemu ya muhimu kabisa kwenye utawala wa Uislamu. Nasema hivi kwasababu kipindi cha NEEMA kulikuwa na madola mengi ya Kiislamu yenye falsafa na siasa tofauti. Kulikuwa na The Abbasid Caliphate, The Fatimid Caliphate, The Seljuk Sultanate, Khwarazm Empire, The Nizari Empire nk.

Dola la Ummay chini ya Kalifa Hisham, ndiyo dola la mwisho kutawala Uislamu kama dola moja. Katika hoja yako ya kutetea Uislamu, hujayazungumzia mambo waliyoyafanya watawala wa kiislamu wa kipindi hiki dhidi ya raia wa majimbo ya Afrika hadi kupelekea dola la kiislamu kuvunjika na kuzaa madola mengine madogo. Mkuu hujazungumzia kabisa matukio kama THE RISE OF KARIJISM na THE GREAT BERBER/AMAZIGH REVOLT. Haya matukio ndiyo yanatupa taswira nzima kuhusu Uislamu.

Pili, Kuhusu dola la Rashidun (The Rashidun Caliphate), hujazingatia kwamba mtume pamoja na wakina Salman walichinja mamia ya mateka wa kivita wa Kiyahudi (Jewish Prisoners of war) baada ya kuwashinda kwenye vita vya shimoni (Battle of the Trench). Waislamu wengi huwa wanapenda kuleta hoja ya kusema kwamba Mtume alikataza kabisa mateka wa vita wasiguswe, wala mnyama, wala mti na kwamba waislamu ndiyo waliwatetea Wayahudi, ilhali mnasahau jambo la msingi kabisa kwamba Mtume alifanya mauaji makubwa ya mateka wa vita ambao tayari walikuwa wamekubali kuweka silaha chini kule BANU QURAYZA. Hapa ntaomba nieleweshwe zaidi labda kuna kitu sikuelewi vizuri.

Si wayahudi tu Mtume na dola ya kiisilamu ilisaidiana na wakristo kukomboa maeneo yao, mfano mzuri kabisa ni Egpty ambayo ilikuwa ikitawaliwa na Byzantine (Roman), na waisilamu kushirikiana na wakristo kuwatoa.
Mkuu wangu unachanganya mambo, Mtume amefariki mwaka 632 na uvamizi wa Misri umeanza kufanyika mwaka 639 chini ya Kalifa wa pili, Umar. Hivyo kusema kwamba Mtume aliwahi kushirikiana na Wakristo katika kukomboa Misri, nadhani siyo sahihi sana. Kubwa zaidi ambalo unalisahau ni hili: Misri imekuwa jimbo la Rumi tokea mwaka 30 BC kipindi wanatawala Wagiriki, lakini pia Misri ilijaa Wakristo. Unaposema kwamba Wakristo wa Misri walishirikiana na Waislamu katika kuvamia Misri napata ukakasi sana kwasababu hilo sijalisoma. Ntashukuru kama utanipa mfano wa hao Wakristo ili na mimi nijifunze.

Binafsi ninachofahamu ni kwamba hata uvamizi wa Misri haukuruhusiwa na Kalifa Umar, Jemedari wake mdogo Amar Bin Alas (The Conqueror of Egypt) alifanya kinyume na matakwa ya Kalifa. Historia inaonyesha kwamba baada ya Battle of Yormuk kule Syria na Siege of Jerusalem , Kalifa Umar hakupenda kabisa kujitanua ndiyo maana barua ya kwanza kabisa ya Amar kuvamia aliikataa.

Again mkuu unadanganya ama hujaandika crucial part ya hivi vita, mtume alipigana hivi vita ama alipigwa na kujidefend mpaka kuwatoa hao wavamizi?
Mkuu mimi nimesomea masomo ya vita, lakini pia Mungu alinipa kudra ya kufanya kazi na hizi mahakama za kimataifa. Kiufupi, vita ina dhana kuu mbili tu, ambazo kilatini zinaiitwa (Jus Ad Bellum) na (Jus In Bello). Ninapozungumzia Jus Ad Bellum naangalia zaidi sababu za kisiasa na kijamii zilizosababisha vita baina ya makundi mawili, au Political reasons for recourse to war. Hapa naangalia sababu kama kujilinda (Self-Defense) kama ulivyosema hapo awali, kusaidia wanyonge (Humanitarian Intervention) au kupambana na ukoloni (Self-Determination) kama ambavyo Tanzania ilifanya na mifano ukatoa.

Unapokuja kwenye Jus In Bello hapa tunazungumzia, mbinu na silaha za vita (Means and Methods of Warfare). Hapa tunaangalia vita tu, bila kuweka sababu za kisiasa. Mambo ya msingi kama The Principle of Military Necessity, Military Proportionality, Protection of Civilians and Their Properties na mengineyo mengi.

Sasa narudi kwenye hoja yako ya msingi ya MTUME ALIKUWA ANAJILINDA: Hapa Mtume alikuwa na haki zote za kujilinda kama binadamu wengine (Jus Ad Bellum), hivyo hapa sina la kusema na kamwe siwezi kuwa mnafiki. Ambalo ninalo la kusema ni hili kuhusu mbinu (Jus In Bello) Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwachinja wale Wayahudi ambao tayari walikuwa wameshaweka silaha zao chini kule Medina ?

Rumi walikuwa ni watawala wa kigeni ambao walikalia kimabavu maeneo yasiyo yao, mtume alipigana nao na kuwatoa kwa msaada mkubwa wa locals, vita vingi hivi vilipigwana hali ya kuwa waisilamu ni wachache sana dhidi ya mkoloni huyu wa zamani.
Ndugu yangu, unaniita mimi muongo ilhali wewe unazungumza kitu ambacho hakipo kabisa kwenye historia. Mtume hajawahi kupambana na Warumi. Ila kuwekana sawa, ni dhahiri ufahamu hili kwamba kufika mwaka 212 AD Kaisari wa Roma Caracalla aliwagawia Uraia wa Rumi watu wote walioishi ndani ya dola la Mrumi. Tena kukupasha habari tu hili lilifanyika kwasababu Kaisari huyu wa Roma alikuwa ni mwafrika (Berber) kutoka Libya.

Lakini kukupasha zaidi habari, ni kwamba baada ya kila mtu kupewa Uraia wa Roma, miaka 32 baadaye baada ya Kaisari Caracalla, Dola la Roma lilikuwa na Kaisari Mwarabu aitwaye Filipo (Phillip The Arab). Hivyo Rumi kufika kipindi cha dola la Kiislamu, Rumi lilikuwa ni dola la Kikristo ambapo utumwa ulikuwa umefutwa kabisa. Hilo la kusema watu walionewa na kukaliwa kimabavu na Roma bado linanipa ukakasi.

Nitajie nchi moja tu duniani ambayo unaweza ukaenda na usilipe kodi, jizya ni ndogo sana compare na tunacholipa sasa. Na hii sheria haimhusu mtu asie muisilamu tu hata muisilamu analipa zaka, pia Jizya iliwahusu wenye uwezo tu, Masikini, wazee,na wengine wasiojiweza hawakuwa wakilipa. Uki convert kwa hela za sasa matajiri walikuwa wakilipa around 1.5m, na wenye maisha ya kati around 100,000.
Ndugu yangu, haya ndiyo madhara ya kuchagua historia (Cherry Picking History) kwasababu huwezi kupata taswira halisi. Kama nilivyosema hapo mwanzoni kabisa, usingeruka matukio muhimu kwenye historia ya Uislamu basi hii hoja isingetusumbua. Hebu turudi kwenye historia sasa: The Jizya haikuwa kodi nzuri hivyo kama unavyotaka kuipamba. Naomba nikupe sababu za kwanini nasema hivi:

Mosi, Jizya ni kodi iliyowalenga MAKAFFIR peke yao na siyo WAISLAMU. Makaffir walitakiwa wafanye hivyo ili kulinda uhai na mali zao. Duniani kote kodi yoyote ambayo inalilenga kundi moja la watu ndani ya taifa ili kulinufaisha kundi moja dhidi ya jingine ni ya kinyonyaji. The Jizya haina utofauti na The Colonial Kipande System. Ndiyo maana watu wengi ili kukwepa Jizya walijifanya waislamu kitu ambacho kilipelekea dola la Ummay kukosa mapato na kuanza kuwatoza Jizya waislamu wa Afrika (Berbers).

Pili, kama Jizya ilikuwa ni nzuri kama unavyotanabaisha hapa, kwanini Waislamu wa Afrika waliigomea hadi kupambana vita baada ya kuambiwa walipe ? Nikupashe tena, mwaka 720 AD Kalifa Malik alimchagua Yazid Ibn Abi Muslim awe gavana wa jimbo la Afrika (Ifriqiya). Jambo la kwanza alilofanya Yazid baada ya kufika Afrika ni kutoza kodi ya Jizya kwa waislamu wakazi wa Afrika (Berbers) huku akiwaacha waarabu. Hili lilipelekea yeye kuuwawa kinyama na waislamu wenzake.

Baada ya haya matukio, ndiyo unafika hadi kwenye Vita ya Bagdoura mwaka 741(The Bagdoura Battle), dhidi ya Waislamu wa Kiafrika (Berbers) na Waislamu Wakiarabu. Chanzo kikubwa kikiwa ni Jizya.

Uongo mwengine huu maeneo mengi hayo karibia na China wamesilimu kwa ajili ya biashara kasome historia ya indonesia na Nchi jirani na China kama Brunei, Malyasia, Ughuyr na wengineo walikuwaje waisilamu kama sio Wafanyabiashara wa kiisilamu waliokuwa waaminifu compare na wengine na kuwashawishi local.
Unaonyesha kibanzi kilicho jichoni mwangu, ilhali wewe una Boriti. Unaniita muongo na kunishauri niende nikasome historia, ilhali wewe mwenyewe umeshindwa kuangalia kitu cha msingi kabisa kuhusu historia. Ukweli ni kwamba The Chinese Silk-Road imechangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa Uislamu kule Uchina, lakini unasahau kwamba sehemu kubwa ya hii barabara iko UAJEMI (PERSIA). Sasa hebu tujiulize haya maswali yafuatayo:
  • Mosi, Uislamu uliingiaje kule Uajemi (Sassanid Persia) ???
  • Pili, Unadhani Uislamu ungefika Uchina na India Kirahisi kama Umar asingemshinda Yezdegerd III ?
Bado tunarudi palepale mwanzoni, Waislamu wasingeweza kutumia The Chinese Silk-Road na kueneza Uislamu kama wasingelivamia dola la Uajemi (The Sassanid Empire) kwenye vita za Al-Qadisiyyah (Battle of Al-Qadisiyyah), Jalula (Battle of Jalula), Hormuz (Battle of Ram Hormuz), Ctesiphon (Battle of Ctesiphon) na Nahavand (Battle of Nahavand). Hivi vita ambavyo kiujumla viliua mamilioni ya Raia wa Uajemi na Uarabuni ndivyo vilisaidia Uislamu kutumia The Chinese Silk-Road. Umar alimwaga damu kwanza, la sivyo asingedirikia kuingia Uajemi.

China wenyewe mainland kutokana na uaminifu wa waisilamu na kuwa resistance kwenye rushwa wakachukua waisilamu kibao na kuwapa position kubwa, mpaka Great wall of China imejengwa na waisilamu.
Hili silipingi kabisa, hata Zheng-He alikuwa ni Muislamu. Japo ambacho nitaendelea kukikataa ni kutaka kusema Uislamu ni AMANI ilhali kumekuwa na madola mengi ya kiislamu ambayo yamekuwa yakipigana vita na kuchinja na waislamu wenzao bila huruma. Kabla hata Salahudin hajaenda kupambana na Makaffir wa Kikristo kutoka Ulaya kule Dameski (Damascus) na Yerusalem (Jerusalem) alianza kupambana na waislamu wenzake walioko ndani ya dola la Kishia la Fatima (The Fatimid Dynasty).Baada ya Salahudin kuwachinja waislamu wenzake ndiyo akaanzisha The Ayyubin Dynasty.

Kifupi watu wasiomuamini mungu ni hatari sana nikukumbushe tu karne 1 iliopita wameua watu si chini ya milioni 100, tamaa za dunia ni mbaya sana, sema unachosema hakuna vita inayozidi vita ya kwanza ya dunia, ya pili ya dunia, vita ya korea, etc watu wanauliwa kama sisimizi.
Mkuu hapa nakubaliana na wewe, japo unachanganya mambo: Ninachokisema mimi ni kwamba unaweza kuwa huna dini lakini ukaamini uwepo wa MUNGU. Binafsi nafahamu kwamba MUNGU ni zaidi ya DINI ambazo nyingi zimeharibiwa kwa mafundisho na mapokeo ya wanadamu. Tatizo langu mimi liko hapa.

Hivyo ntakuwa sitendi haki endapo ntasema UISLAMU ni MBAYA kwasababu ya matukio machache mabaya yaliyofanywa na wafuasi wa dini kama vita za umwagaji damu mkubwa huko nyuma. Kuna mambo mengi mazuri dini ya Uislamu iliyaleta hapa duniani kipindi cha NEEMA (The Golden Age), machache yakiwa:
  • The Modern Scientific Method
  • Algebra
  • Cubic Equations
  • Negative Numbers
  • Induction
  • Irrational Number
  • Astronomical Heliocentric Model
  • Distillation
Japo, bado nabaki palepale kwamba washika dini inabidi waangaliwe kwa jicho la tatu kwasababu wanaweza kufanya jambo lolote lile hata lisilo la HAKI wakiamini wanamtumikia MUNGU/MIUNGU yao.

NB: Mkuu Chief-Mkwawa , mimi binafsi nakukubali sana sanaaa. Uwe na usiku mwema....
 
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."View attachment 2450626
Hivi source yako ni nini? Au kwa sababu imeandikwa kwa Kiingereza basi itakuwa habari ya kweli?
 
Mbona nyie mpaka mapapa wanasapot n dini yenu ulipoanzia huko uingereza ,Italy, na marekani wansapt ushoga , we na hao walioanzisha ukristo Nan anajua wakati we ni msukuma tu huelewi chochote?
Ukristo umejengwa katika upendo na kuwapokea wote wenye shida na waovu..kwa kanuni ya mpende jirani yako..kama nafsi yako.

Kristo alikuja kwa waovu sio kwa watakatifu..alikuja kukomboa kilichopotea.

Ukiwapenda wale wa nyumbani kwako na kuwachukia wengine hauna tofauti na uenezaji wa chuki.

Kumbuka hakuna binadamu mkamilifu.

Kuwaua ama kuwatenga mashoga hakuwezi maliza tatizo la ushoga..bali ni kukaa nao nakuwaonyesha njia sahihi.

Hicho ndicho kanisa lina sisitiza..wote wawekwe karibu wapate tiba ya kiroho...ukisema uue kila mdhambi utaua hadi weww mwenyewe utajiaua mana hakuna mkamilifu.

Mungu aliwaangamiza sodoma na gomora je hao mashoga wameisha??ama wadhambi wameisha.

Tusijihesabie haki..kumbuka kipimo unacho wapimia wengine nawe utapimiwa hicho hicho.

Ahukumuue kwa haki ni Mungu pekee.

Huo ndio msingi wa iman ya kikristo upendo pasipo mipaka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kasome American crusade war katika kusambaza ukristo then njoo hapa.
 
Wakristo ni mashoga kwani huoni marekani, France ,German, uingereza wanavyotetea ushoga.

Na sisi tuseme ivyo kama point yako ilivyo sio?
Mkuu kuna dini inayoongoza kufira watu zaidi ya uislamu, Irani ili binti aolewe sharti awe na bikra,sasa wengi ya wanawake kutokana na matamanio ya miili yao hugawa nyuma ili kuwaridhisha mabwana zao,nenda Zanzibar wanawake wengi walishaziburiwa mitalo.

Kuna sheikh mmoja ni mzanzibar nilikuwa naishi naye ,yeye ilikuwa ukigombana naye lazima atamke na kukutishia kukufumua marinda!!

Lakini pia katika Qur'an mtume ametuambia kuwa tuwaingilie wake zetu katika milango yote yaani mbele na nyuma,mtume kasisitiza kabisa tuwale wake zetu vyovyote tupendavyo.

Soma mwenyewe hapa: Baqarah Aayah 223: Wake zenu ni konde kwenu. Basi ziendeeni konde zenu…

نِسَاؤُكُمْ حَرْثٌ لَّكُمْ فَأْتُوا حَرْثَكُمْ أَنَّىٰ شِئْتُمْ ۖ وَقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُمْ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ وَاعْلَمُوا أَنَّكُم مُّلَاقُوهُ ۗ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ ﴿٢٢٣﴾

223. Wake zenu ni konde kwenu. Basi ziendeeni konde zenu vyovyote mpendavyo. Na kadimisheni (mema) kwa ajili ya nafsi zenu. Na mcheni Allaah na jueni kwamba hakika nyinyi ni wenye kukutana Naye. Na wabashirie Waumini.

Kuna swali mkuu? Ushoga na ufiraji umehararishwa katika dini ya mtume.

Naomba msamaha kwa nitakaye mkwaza ,yote ni kutaka kujifunza
 
Porojo hata wenzio wanakushangaa unatumia nguvu😂😂😂..Angalia nchi zinazosapot ndo zimeanzisha ukristo we hujui chochote coz umezliwa kweny ujinga ,huyu kama kazaliwa kweny ukristo ila kaja kujitambua baadae.

Wenzio wanakuchek😂😂
 
Usikalilishwe mkuu, hayo mengine ni siasa, M23 sio waislamu, kony sio Muislamu, Russia sio waislamu Ukuraini sio Waislamu Burma sio waislamu mkuu epuka kua victim wa western media propaganda uwe unachambua.
Muongezee Son of Gamba afanye refer za Baltic Crusade, Spanish invasion of South America, Crusades
 
Waislamu gan unao waongelea kwaza hawa ambao wanachinja uku wakisema alhwakubar? Au wapi uliza tulio kaa nao
 
Mkuu kuna dini inayoongoza kufira watu zaidi ya uislamu, Irani ili binti aolewe sharti awe na bikra,sasa wengi ya wanawake kutokana na matamanio ya miili yao hugawa nyuma ili kuwaridhisha mabwana zao,nenda Zanzibar wanawake wengi walishaziburiwa mitalo.

Kuna sheikh mmoja ni mzanzibar nilikuwa naishi naye ,yeye ilikuwa ukigombana naye lazima atamke na kukutishia kukufumua marinda!!

Lakini pia katika Qur'an mtume ametuambia kuwa tuwaingilie wake zetu katika milango yote yaani mbele na nyuma,mtume kasisitiza kabisa tuwale wake zetu vyovyote tupendavyo.

Soma mwenyewe hapa: Baqarah Aayah 223: Wake zenu ni konde kwenu. Basi ziendeeni konde zenu…

نِسَاؤُكُمْ حَرْثٌ لَّكُمْ فَأْتُوا حَرْثَكُمْ أَنَّىٰ شِئْتُمْ ۖ وَقَدِّمُوا لِأَنفُسِكُمْ ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ وَاعْلَمُوا أَنَّكُم مُّلَاقُوهُ ۗ وَبَشِّرِ الْمُؤْمِنِينَ ﴿٢٢٣﴾

223. Wake zenu ni konde kwenu. Basi ziendeeni konde zenu vyovyote mpendavyo. Na kadimisheni (mema) kwa ajili ya nafsi zenu. Na mcheni Allaah na jueni kwamba hakika nyinyi ni wenye kukutana Naye. Na wabashirie Waumini.

Kuna swali mkuu? Ushoga na ufiraji umehararishwa katika dini ya mtume.

Naomba msamaha kwa nitakaye mkwaza ,yote ni kutaka kujifunza
Kama huelewi kitu ni bora ukakaa kimya kuliko kudhihirisha ujinga wako hapa
Embu aje mkulima yeyote hapa atwambie konde maana yake nini?
Konde ilokusudiwa apo ni kua sehemu inayozalisha na ata sisi binadamu tunasema tuna konde tunazalisha mahindi,ngano,ndizi n.k

Na sehemu ambayo inazalisha kwa m.ke kila mtu anapajua sasa ww na chuki zako unakuja kuropoka hapa
Uliza kama hujui utaelekezwa na sio kukurupuka kudhihirisha upoyoyo wako hapa
 
Ila mafundisho yao yamejikita kwenye kujikumbatia wao, Mafunzo yao yanazalisha chuki na ubaguzi kwa wengine au kutoshirikiana na wengine.
Hapo ni sawa na kukiosha kikombe nje wakati ndani ni kichafu. Utasema ni kikombe ni kisafi?
Shida ya hao watu hawaheshimu uwepo wa dini na imani zingine
 
Mimi nakumbuka nilikaa mooa fulan uko pwani walikuwa wakijua nyumba ni ya mkristo hawaombi maji ata kanisan kama kuna maji walikuwa hawendi kuchota wakiamini maji yale nguruwe wanakunywa kiufup ni wabaguzi
 
Waisilamu ni watu wa Amani? Umeandika kutoka moyoni kweli? Mwislamu mtu wa Amani?you must be joking kwahiyo Alshabab,ISIS,Al Qaeda na Boko Haram ni Amani hiyo?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app

Si wote walio ktk hayo makundi ni waumini sometym ni mapandikizi......
b4 u judge Thinking dip Mkuu
 
Historia inatoa taswira ya tofauti kabisa kuhusu hii hoja. Watu wa DINI ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na mikono yenye damu za maelfu kama siyo mamilioni ya raia wasio na hatia. Tangu kuanzishwa kwa dola la kwanza la Kiislamu (The Rashidun Caliphate) mnamo karne ya 7, hakuna amani yoyote ile ambayo ililetwa kwa watu ambao siyo waislamu.

Nabii wa waislamu, Mtume Muhammad alipigana vita zisizopungua tisini kwenye miaka yake ya mwisho ili kuweza kuunganisha ghuba nzima ya Uajemi (The Persian Gulf) kama dola moja la kiislamu. Warithi wake Khalifa Ab Bakr na Umar walianzisha vita dhidi ya madola kama Uajemi (The Sassanian Empire) na Rumi (The Eastern Roman Empire), kama mbinu za kupata ardhi na kueneza uislamu.

Wale waliovamiwa na majemedari wa vita wa kiislamu kama Al-Qaqa-Bin-Amar, Khalid Ibn Walid, Amar Ibn Alas, Ubadah n.k walipewa haya masharti magumu matatu. Mosi, jiunge na Uislamu (Convert to Islam), Pili, lipa Kodi (Pay the Jizya), na tatu, Uuawe (Death). Mnaposema Uislamu ni dini ya amani mnataka kutuambia nini labda: Hivi unadhani waislamu waliweza kutengeneza dola kubwa ambalo limeanzia kwenye mipaka ya Uchina (Tang China) hadi kufika Uhispania (Spain) kwa kuimba Kaswida na kutafuna tende ? Majambia, Mikuki, Damu na Farasi vilitumika.

Ukija kwa WAYAHUDI ndiyo usiseme, ukisoma BIBLIA unaweza ukaogopa. Hawa Torati yao inaruhusu kabisa kuua mtu kama sehemu ya Ibada. Hata BWANA YESU pamoja na mitume wake wa kanisa la kwanza hakuuwawa na wapagani, bali WAYAHUDI ambao ni wafia dini. Mtume Paulo kabla ya kuwa Mkristo alikuwa ni mmoja ya wauaji wakubwa wa kiyahudi kuwahi kutokea mnamo karne ya kwanza.

Ukitaka uthibitisho wa hili, nenda kajaribu kushindana na WAZAYUNI waliotokea Ulaya ndiyo utaona. Waarabu na ukichaa wao wote, walijaribu na walichokipata hawaamini mpaka leo hii. Yule ndugu yetu muimba muziki anayejiita "YE" walimfirishi Trilioni mbili na ndani ya usiku mmoja kisa aliwakosoa. Hapa kuna amani gani bwana wewe ?

WAKRISTO, hasa wale wenye macho ya bluu na wavaa rozari ndiyo wanaogopesha zaidi. Zingatia haya matukio waliowahi kuyafanya kwenye historia :
  • Theodosius Pogroms of Jews and Non-Christians.
  • The Urbanite Crusades in the Holy Land.
  • The Sacking of Constantinople by Crusaders.
  • The Spanish Inquisition.
  • The Massacre of Huguenots.
Wale wengine wanaojiita WAPROTESTANTI na WALOKOLE hawako nyuma nao hawako nyuma sana. Mambo waliyoyafanya kwa binadamu wenzao wenye ngozi nyeusi na nyekundu kule Marekani nadhani, mtu yoyote muungwana akiyafahamu lazima atazitazama hizi dini kwa jicho la kitofauti sana.

NB: Kiufupi watu wenye dini ni hatari mno kwa usalama na ustawi wa dunia.....
Asante kwa kutoa jibu na mjadala umefungwa
 
Usikalilishwe mkuu, hayo mengine ni siasa, M23 sio waislamu, kony sio Muislamu, Russia sio waislamu Ukuraini sio Waislamu Burma sio waislamu mkuu epuka kua victim wa western media propaganda uwe unachambua.
nadhani hajui kwa nini militants wa Joseph Kony wanaitwa kwa ufupisho LRA na sio kwa urefu Lord Resistance Army. LRA ni wakristo wa siasa kali na wanahubiria biblia kuhalalisha mauaji wanayofanya ila kwa sababu media zimechagua upande na hawataki kutengeneza image ya ugaidi ktk ukristo thats why wanatumia LRA ili kuficha.

Lakini ni rahisi kusikia muslim terrorists kwenye media tena ktk matukio yasio na ushahidi na ya kutengeneza.
 
Ushoga umezungumziwa vzr katika kurwani..kuwataka waume waziendee tupu za nyuma za wake zao kadri wanavyojiskia.

Kumbuka mku.ndu ni mku.ndu.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2450824
Hakuna mafundisho haya ktk uislamu, ni uzushi na itikadi za maadui wa uislamu ktk kupotosha.

Uislamu umekemea ushoga na kulawiti na adhabu yake ni kuuwawa.
 
Mkuu nashukuru sana, na naomba nijibu hoja zako kama ifuatavyo.

Mosi, unachokifanya wewe tunaita kuchagua historia unayoona inaunga mkono hoja zako (Cherry Picking of history). Usiyoyakubali unayaweka pembeni. Katika somo la historia haya ni makosa makubwa.

Umetoa mifano miwili mikubwa kutetea Uislamu: Umezungumzia dola la Abbas (The Abbasid Caliphate) ambalo ndilo lilileta kipindi cha Neema kwa Uislamu (The Islamic Golden Age). Ukazungumzia tena kipindi cha Salahudin ambacho Wakristo na Wayahudi waliheshimika sana. Umenena vyema kabisa lakini umetupilia ukweli muhimu nje. Sifahamu lengo hasa la wewe kufanya hivi.

Huwezi kuzungumzia kipindi cha NEEMA (The Golden Age) bila kuzungumzia kipindi kilichokuwa kabla yake, kwasababu vipindi hivi vyote ndivyo vinaunda historia ya Uislamu. Umeliruka dola la Ummay (The Ummayad Caliphate) ambalo ni sehemu ya muhimu kabisa kwenye utawala wa Uislamu. Nasema hivi kwasababu kipindi cha NEEMA kulikuwa na madola mengi ya Kiislamu yenye falsafa na siasa tofauti. Kulikuwa na The Abbasid Caliphate, The Fatimid Caliphate, The Seljuk Sultanate, Khwarazm Empire, The Nizari Empire nk.

Dola la Ummay chini ya Kalifa Hisham, ndiyo dola la mwisho kutawala Uislamu kama dola moja. Katika hoja yako ya kutetea Uislamu, hujayazungumzia mambo waliyoyafanya watawala wa kiislamu wa kipindi hiki dhidi ya raia wa majimbo ya Afrika hadi kupelekea dola la kiislamu kuvunjika na kuzaa madola mengine madogo. Mkuu hujazungumzia kabisa matukio kama THE RISE OF KARIJISM na THE GREAT BERBER/AMAZIGH REVOLT. Haya matukio ndiyo yanatupa taswira nzima kuhusu Uislamu.

Pili, Kuhusu dola la Rashidun (The Rashidun Caliphate), hujazingatia kwamba mtume pamoja na wakina Salman walichinja mamia ya mateka wa kivita wa Kiyahudi (Jewish Prisoners of war) baada ya kuwashinda kwenye vita vya shimoni (Battle of the Trench). Waislamu wengi huwa wanapenda kuleta hoja ya kusema kwamba Mtume alikataza kabisa mateka wa vita wasiguswe, wala mnyama, wala mti na kwamba waislamu ndiyo waliwatetea Wayahudi, ilhali mnasahau jambo la msingi kabisa kwamba Mtume alifanya mauaji makubwa ya mateka wa vita ambao tayari walikuwa wamekubali kuweka silaha chini kule BANU QURAYZA. Hapa ntaomba nieleweshwe zaidi labda kuna kitu sikuelewi vizuri.
Hio ya wayahudi wa Madina waliouliwa kama mateka wa vita ni historia inayopotoshwa sana, kwenye vita vya handaki waisilamu waliposalitiwa na hilo kabila kiongozi wao alikataa kuhukumiwa na Mtume akataka ahukumiwe kwa sheria zao za kiyahudi na wakamchagua Saad bin Muwadh kuwahukumu kwa "Torah" hivyo hilo suala halikuhukumiwa kwa Quran bali Torah

Na mkuu sijakataa kuhusu hizo Fitnah kwenye dola za kiisilamu, si kila kiongozi wakati wa dola ya kiisilamu alikuwa ni mwema, ummayad caliphate wameua mjukuu wa mtume sembuse watu wengine, hivyo kulikuwa na High na low sikatai, vyema uchukulie vitu kwa context husika.
Mkuu wangu unachanganya mambo, Mtume amefariki mwaka 632 na uvamizi wa Misri umeanza kufanyika mwaka 639 chini ya Kalifa wa pili, Umar. Hivyo kusema kwamba Mtume aliwahi kushirikiana na Wakristo katika kukomboa Misri, nadhani siyo sahihi sana. Kubwa zaidi ambalo unalisahau ni hili: Misri imekuwa jimbo la Rumi tokea mwaka 30 BC kipindi wanatawala Wagiriki, lakini pia Misri ilijaa Wakristo. Unaposema kwamba Wakristo wa Misri walishirikiana na Waislamu katika kuvamia Misri napata ukakasi sana kwasababu hilo sijalisoma. Ntashukuru kama utanipa mfano wa hao Wakristo ili na mimi nijifunze.

Binafsi ninachofahamu ni kwamba hata uvamizi wa Misri haukuruhusiwa na Kalifa Umar, Jemedari wake mdogo Amar Bin Alas (The Conqueror of Egypt) alifanya kinyume na matakwa ya Kalifa. Historia inaonyesha kwamba baada ya Battle of Yormuk kule Syria na Siege of Jerusalem , Kalifa Umar hakupenda kabisa kujitanua ndiyo maana barua ya kwanza kabisa ya Amar kuvamia aliikataa.
Nafahamu Conquest ya Egpty ilikuwa kipindi cha Umar ukisoma vizuri nilichoandika nimesema mtume na dola ya kiisilamu so nimejumuisha ila mtume mwenyewe alishatabiri hili,

Hadith sahih muslim
You would soon conquer Egypt and that is a land which is known (as the land of al-qirat). So when you conquer it, treat its inhabitants well. For there lies upon you the responsibility because of blood-tie or relationship of marriage (with them). And when you see two persons falling into dispute amongst themselves for the space of a brick, than get out of that

kwa ufupi mkuu Byzantine walikuwa against papa wa Egpty (coptic christian) waliteswa hadi huyo papa akakimbia, Warumi wakamtesa mdogo wake hadi kumuua, kutokana na mateso haya hawakutuma hata kiumbe mmoja kupigana na waisilamu, Amr ameichukua Egpty na kajeshi kadogo tu ka watu 4000 sababu Coptic walikuwa against warumi, na kitu cha kwanza alichofanya Amr ni kumrudisha papa Benjamin kwenye uongozi wa kanisa.

sikupi source za kiisilamu nakupa link kabisa ya kanisa la Egpty

soma story ya pope Benjamin na islamic conquest,

haijaishia hapo tu mkuu, kanisa la Egpty na maeneo mengine ya middle east miaka na miaka wameshiriki vita vya waisilamu, mpaka leo issue za Palestina jamaa wapo pamoja na waisilamu

Mkuu mimi nimesomea masomo ya vita, lakini pia Mungu alinipa kudra ya kufanya kazi na hizi mahakama za kimataifa. Kiufupi, vita ina dhana kuu mbili tu, ambazo kilatini zinaiitwa (Jus Ad Bellum) na (Jus In Bello). Ninapozungumzia Jus Ad Bellum naangalia zaidi sababu za kisiasa na kijamii zilizosababisha vita baina ya makundi mawili, au Political reasons for recourse to war. Hapa naangalia sababu kama kujilinda (Self-Defense) kama ulivyosema hapo awali, kusaidia wanyonge (Humanitarian Intervention) au kupambana na ukoloni (Self-Determination) kama ambavyo Tanzania ilifanya na mifano ukatoa.

Unapokuja kwenye Jus In Bello hapa tunazungumzia, mbinu na silaha za vita (Means and Methods of Warfare). Hapa tunaangalia vita tu, bila kuweka sababu za kisiasa. Mambo ya msingi kama The Principle of Military Necessity, Military Proportionality, Protection of Civilians and Their Properties na mengineyo mengi.

Sasa narudi kwenye hoja yako ya msingi ya MTUME ALIKUWA ANAJILINDA: Hapa Mtume alikuwa na haki zote za kujilinda kama binadamu wengine (Jus Ad Bellum), hivyo hapa sina la kusema na kamwe siwezi kuwa mnafiki. Ambalo ninalo la kusema ni hili kuhusu mbinu (Jus In Bello) Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwachinja wale Wayahudi ambao tayari walikuwa wameshaweka silaha zao chini kule Medina ?
Hili mkuu nimeshalijibu juu mtume hakuwahukumu hao wayahudi na historia zetu zipo clear walihukumiwa na torah.
Ndugu yangu, unaniita mimi muongo ilhali wewe unazungumza kitu ambacho hakipo kabisa kwenye historia. Mtume hajawahi kupambana na Warumi. Ila kuwekana sawa, ni dhahiri ufahamu hili kwamba kufika mwaka 212 AD Kaisari wa Roma Caracalla aliwagawia Uraia wa Rumi watu wote walioishi ndani ya dola la Mrumi. Tena kukupasha habari tu hili lilifanyika kwasababu Kaisari huyu wa Roma alikuwa ni mwafrika (Berber) kutoka Libya.
Mtume amepambana na Warumi mkuu, vita ya MUt'a 629 na ambayo ilizaa msafara wa Usama bin Zayd
Lakini kukupasha zaidi habari, ni kwamba baada ya kila mtu kupewa Uraia wa Roma, miaka 32 baadaye baada ya Kaisari Caracalla, Dola la Roma lilikuwa na Kaisari Mwarabu aitwaye Filipo (Phillip The Arab). Hivyo Rumi kufika kipindi cha dola la Kiislamu, Rumi lilikuwa ni dola la Kikristo ambapo utumwa ulikuwa umefutwa kabisa. Hilo la kusema watu walionewa na kukaliwa kimabavu na Roma bado linanipa ukakasi.

Ndugu yangu, haya ndiyo madhara ya kuchagua historia (Cherry Picking History) kwasababu huwezi kupata taswira halisi. Kama nilivyosema hapo mwanzoni kabisa, usingeruka matukio muhimu kwenye historia ya Uislamu basi hii hoja isingetusumbua. Hebu turudi kwenye historia sasa: The Jizya haikuwa kodi nzuri hivyo kama unavyotaka kuipamba. Naomba nikupe sababu za kwanini nasema hivi:

Mosi, Jizya ni kodi iliyowalenga MAKAFFIR peke yao na siyo WAISLAMU. Makaffir walitakiwa wafanye hivyo ili kulinda uhai na mali zao. Duniani kote kodi yoyote ambayo inalilenga kundi moja la watu ndani ya taifa ili kulinufaisha kundi moja dhidi ya jingine ni ya kinyonyaji. The Jizya haina utofauti na The Colonial Kipande System. Ndiyo maana watu wengi ili kukwepa Jizya walijifanya waislamu kitu ambacho kilipelekea dola la Ummay kukosa mapato na kuanza kuwatoza Jizya waislamu wa Afrika (Berbers).

Pili, kama Jizya ilikuwa ni nzuri kama unavyotanabaisha hapa, kwanini Waislamu wa Afrika waliigomea hadi kupambana vita baada ya kuambiwa walipe ? Nikupashe tena, mwaka 720 AD Kalifa Malik alimchagua Yazid Ibn Abi Muslim awe gavana wa jimbo la Afrika (Ifriqiya). Jambo la kwanza alilofanya Yazid baada ya kufika Afrika ni kutoza kodi ya Jizya kwa waislamu wakazi wa Afrika (Berbers) huku akiwaacha waarabu. Hili lilipelekea yeye kuuwawa kinyama na waislamu wenzake.

Baada ya haya matukio, ndiyo unafika hadi kwenye Vita ya Bagdoura mwaka 741(The Bagdoura Battle), dhidi ya Waislamu wa Kiafrika (Berbers) na Waislamu Wakiarabu. Chanzo kikubwa kikiwa ni Jizya.
mkuu kuna jambo moja ufahamu si kila vita inayopiganwa na waisilamu ni ya kiisilamu na si kila sheria iliowekwa kipindi hicho ni ya kiisilamu, nimekupa mfano wa Amr sababu ni katika kipindi ambacho bado kuna makhalifa wa 4 wa kwanza ambao sisi tunawaona kama walikuwa sahihi, baada ya kifo cha Ally na Muawiya kuna fitna nyingi sana zimetokea na hata hii vita uliotaja hapa ni waisilamu vs waisilamu.

kipindi hichi kiongozi wa waisilamu alikuwa ni Yazid, same guy alieua familia ya mtume, alikuwa ni mlevi na sadist, uongozi wake mara kwa mara ulitaka kupinduliwa, scholars wengi wana mregard jamaa kama sio muisilamu.

point kama hizi kwenye uisilamu zipo nyingi kwamba mtu asiefuata uisilamu anakuwa kiongozi na anafuata matakwa yake binafsi, anafanya maovu kwa wote waisilamu na wasiokua waisilamu, lakini critics wana ignore part ya kwanza na kufuata ya pili, ukisoma zaidi vita ya Bagdoura utaona kwenye safu zao walikuwemo waisilamu ambao wapo against Ummayad caliphate.
Unaonyesha kibanzi kilicho jichoni mwangu, ilhali wewe una Boriti. Unaniita muongo na kunishauri niende nikasome historia, ilhali wewe mwenyewe umeshindwa kuangalia kitu cha msingi kabisa kuhusu historia. Ukweli ni kwamba The Chinese Silk-Road imechangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa Uislamu kule Uchina, lakini unasahau kwamba sehemu kubwa ya hii barabara iko UAJEMI (PERSIA). Sasa hebu tujiulize haya maswali yafuatayo:
  • Mosi, Uislamu uliingiaje kule Uajemi (Sassanid Persia) ???
  • Pili, Unadhani Uislamu ungefika Uchina na India Kirahisi kama Umar asingemshinda Yezdegerd III ?
Bado tunarudi palepale mwanzoni, Waislamu wasingeweza kutumia The Chinese Silk-Road na kueneza Uislamu kama wasingelivamia dola la Uajemi (The Sassanid Empire) kwenye vita za Al-Qadisiyyah (Battle of Al-Qadisiyyah), Jalula (Battle of Jalula), Hormuz (Battle of Ram Hormuz), Ctesiphon (Battle of Ctesiphon) na Nahavand (Battle of Nahavand). Hivi vita ambavyo kiujumla viliua mamilioni ya Raia wa Uajemi na Uarabuni ndivyo vilisaidia Uislamu kutumia The Chinese Silk-Road. Umar alimwaga damu kwanza, la sivyo asingedirikia kuingia Uajemi.
sawa mkuu, lakini hio area ya south na south east asia ina comprimise 1/3 ya waisilamu wote duniani, so ni significant number, kusema tu majambia yameeneza dini si sahihi, tunaongelea nchi yenye waisilamu wengi duniani na imekuwa converted kwa maneno na shortcut ya kwenda south east asia ipo baharini zaidi kuliko kwenye ardhi,
Hili silipingi kabisa, hata Zheng-He alikuwa ni Muislamu. Japo ambacho nitaendelea kukikataa ni kutaka kusema Uislamu ni AMANI ilhali kumekuwa na madola mengi ya kiislamu ambayo yamekuwa yakipigana vita na kuchinja na waislamu wenzao bila huruma. Kabla hata Salahudin hajaenda kupambana na Makaffir wa Kikristo kutoka Ulaya kule Dameski (Damascus) na Yerusalem (Jerusalem) alianza kupambana na waislamu wenzake walioko ndani ya dola la Kishia la Fatima (The Fatimid Dynasty).Baada ya Salahudin kuwachinja waislamu wenzake ndiyo akaanzisha The Ayyubin Dynasty.
mkuu kama unavyoona hapo kwa Salahudin, kabla ya kusema anachinja watu view hio historia kwa ukubwa, crusaders wamekuja wanaua watu, wanawake, watoto, estimation za chini ni watu milioni 1 estimation za juu ni watu milioni 9, viongozi wa wakati huo wanalipa tributes west hali ya kuwa wananchi wao wanataabika, maisha yalikuwa mazuri kwa viongozi na mabaya kwa wananchi wa chini wanaoouliwa na jeshi la magharibi kila sehemu.

so aim yake ni kuunganisha kwanza watu kabla ya kupigana na mgeni, ndio maana aliconquer kwanza hao majirani kabla ya kuwa face crusader.
Mkuu hapa nakubaliana na wewe, japo unachanganya mambo: Ninachokisema mimi ni kwamba unaweza kuwa huna dini lakini ukaamini uwepo wa MUNGU. Binafsi nafahamu kwamba MUNGU ni zaidi ya DINI ambazo nyingi zimeharibiwa kwa mafundisho na mapokeo ya wanadamu. Tatizo langu mimi liko hapa.

Hivyo ntakuwa sitendi haki endapo ntasema UISLAMU ni MBAYA kwasababu ya matukio machache mabaya yaliyofanywa na wafuasi wa dini kama vita za umwagaji damu mkubwa huko nyuma. Kuna mambo mengi mazuri dini ya Uislamu iliyaleta hapa duniani kipindi cha NEEMA (The Golden Age), machache yakiwa:
  • The Modern Scientific Method
  • Algebra
  • Cubic Equations
  • Negative Numbers
  • Induction
  • Irrational Number
  • Astronomical Heliocentric Model
  • Distillation
Japo, bado nabaki palepale kwamba washika dini inabidi waangaliwe kwa jicho la tatu kwasababu wanaweza kufanya jambo lolote lile hata lisilo la HAKI wakiamini wanamtumikia MUNGU/MIUNGU yao.

NB: Mkuu Chief-Mkwawa , mimi binafsi nakukubali sana sanaaa. Uwe na usiku mwema....
na huo mkuu ni ujinga wa binadamu ama sometime wengine wanajua ila kwa personal gain wanatumia dini kufanikisha, kwa sisi waisilamu binafsi dini yetu ipo straight, tunafuata Quran na Sunnah na mafundisho ya scholars wetu, yoyote ambaye atatumia dini vibaya tunaongea na tunampinga.

usiku mwema na wewe pia mkuu.
 
Ushoga umezungumziwa vzr katika kurwani..kuwataka waume waziendee tupu za nyuma za wake zao kadri wanavyojiskia.

Kumbuka mku.ndu ni mku.ndu.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2450824
mkuu unachofanya sio sahihi, hio sio Quran wala sio suratul Baqarah na quran haijaaandikwa hivyo sijui impokelewa na fulani, unachofanya ni dhihaka.
 
Back
Top Bottom