Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

mkuu unachofanya sio sahihi, hio sio Quran wala sio suratul Baqarah na quran haijaaandikwa hivyo sijui impokelewa na fulani, unachofanya ni dhihaka.
Mkuu apo ni sawa unampigia mbuzi kinanda iyo kenge haiwezi kukuelewa hata siku moja...Unamichango mingi sana kule jukwaa la tech na michezo ila huku kwenye dini nashauri uwe unapita kimyakimya kulinda hadhi yako majuha ni mengi sana na thread za udini uwa ni za kukaa nazo mbali
 
Mkuu apo ni sawa unampigia mbuzi kinanda iyo kenge haiwezi kukuelewa hata siku moja...Unamichango mingi sana kule jukwaa la tech na michezo ila huku kwenye dini nashauri uwe unapita kimyakimya kulinda hadhi yako majuha ni mengi sana na thread za udini uwa ni za kukaa nazo mbali
Ni kweli unachosema mkuu lakini wkt mwingine unaumia sana
Kuona mtu anaandika uwongo kabisa kuhusu DINI yako
Watu wa aina ndio wanaohatarisha Hata AMANI ya NCHI

Lakini pia lazima utetee DINI yako ili ifahamike kuwa kinachosemwa si sahihi

Hata mm huwa sipendi MIJADARA ya dini lkn inabidi kuchangia ili twende sawa

Nakupa mfano hapo awali lolote kuhusu ubaya wa waislam basi walikuwa wanaingizia mfano wa AL SHABAB ISIS au BOKO HARAM
Mashallah baada nasi kutumia NGUVU kubwa kuelewesha UMMA uovu wa hvyo VIKUNDI hauusiani na MAFUNDISHO ya UISLAM tumefanikiwa kwa kiasi fulani kudumaza hizo propaganda MITANDAONI kwa kiasi kikubwa wasio WAKRISTO wamepata kufahamu hvyo vikundi vipo kwa mlengo gani hata HUMU JAMIIFORUM wengi wameanza kuelewa

Sasa huyu jamaa mkuu Anapost kitabu chake cha HOVYO halafu anaita QURAN na anashupalia kila THREAD kuwa ipo hvyo wakti si kweli

Na kusema kweli ashukuru yupo NYUMA ya KEYBOAD
Hiyo DHIHAKA anayofanya HAIVUMILIKI hata INGEKUWA SERIKALI ingemfunga GEREZANI kwa kudhihaki DINI ya mwenzako
 
Usidanganyike,shetani hana mapembe wala sura ya kutisha kama anavyochorwa kwenye picha.
Shetani ni malaika anayependeza na kuvutia.Atakupa vitu vizuri na vya kukupa raha.Ila ukae ukijua,ipo siku utavilipa hata kwa gharama ya uhai wako.

Mtu aliye na ujasiri wa kuchinja binadamu mwingine huku akimtaja mungu wake,hawezi kunishawishi kuhusu dini hiyo.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Usidanganyike,shetani hana mapembe wala sura ya kutisha kama anavyochorwa kwenye picha.
Shetani ni malaika anayependeza na kuvutia.Atakupa vitu vizuri na vya kukupa raha.Ila ukae ukijua,ipo siku utavilipa hata kwa gharama ya uhai wako.

Mtu aliye na ujasiri wa kuchinja binadamu mwingine huku akimtaja mungu wake,hawezi kunishawishi kuhusu dini hiyo.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wanachinja huku wakiimba Allah Akbar [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."View attachment 2450626
Vibaraka wa Marekani na Uingereza lazima watapinga
 
Ushoga umezungumziwa vzr katika kurwani..kuwataka waume waziendee tupu za nyuma za wake zao kadri wanavyojiskia.

Kumbuka mku.ndu ni mku.ndu.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2450824

Aya 223 haisemi hivyo , hivyo vitabu mnaviandika kupakazia waislamu


Aya ya 223 inasema hivi


(Al-Baqarah 2:223) | <Embed> |


Your wives are as a tilth unto you; so approach your tilth when or how ye will; but do some good act for your souls beforehand; and fear Allah. And know that ye are to meet Him (in the Hereafter), and give (these) good tidings to those who believe.

Biblia inasema
wjd-billboard-born-gay.jpg


 
Muongezee Son of Gamba afanye refer za Baltic Crusade, Spanish invasion of South America, Crusades
Ndugu yangu nataka nikuambie kitu ukielewe vizuri.
Iko hivi :
Wakristo wa KWELI huwa hawabebi silaha wala hawajihusishi na vita ya kimwili ya aina yoyote ile. Mkristo wa KWELI haruhusiwi "kuua", tena siyo kuua tu hata kumtukana mtu au kumpiga mtu kibao ni sawa na dhambi ya kuua.

Hao waliokuwa wanajiita "crusaders" au wabeba misalaba kwa tafsiri rahisi ya kiswahili walikuwa sio Wakristo wa KWELI.

Sifa kuu za MKRISTO wa KWELI ni kuishi kwa kuzishika Amri za MUNGU na imani ya YESU KRISTO.

Hao "crusaders" ni zao la ukristo fake, yaani ukristo wa uongo ambao ni mchanganyiko wa mafundisho na desturi za "kipagani", vikachanganywa na Injili. Mchanganyiko huo ndio uliozaa "ukristo" mnaoujua ninyi leo hii. Ukristo unaopingana na Amri za MUNGU na imani ya YESU KRISTO.

Aina hii ya "ukristo fake" ilienezwa duniani kote na kanisa katoliki na mpaka leo hii ndio "ukristo" unaotambulika na watu wengi duniani.

Limebakia kundi dogo sana la watu wachache mno ambao bado wameushika UKRISTO wa KWELI mpaka leo na wataendelea kuushika UKRISTO huo wa KWELI mpaka ile siku atakaporudi tena BWANA YESU.

Hivyo basi naomba uelewe hao waliokuwa wakiitwa "crusaders" kiuhalisia sio WAKRISTO ingawa walijiita "wakristo". Matendo yao ya kujihusisha na vita, uuaji, utekaji nyara, ubakaji nk hayaendani kabisa na UKRISTO wa KWELI.

-Mkristo wa kweli hata ukimtukana hawezi kukurudishia tusi.
-Mkristo wa kweli ukimpiga hawezi kukurudishia.
-Mkristo wa kweli haendi vitani wala hapigani vita ya mwilini bali siku zote hueneza amani na kuhubiri amani kwa watu wote.
-Mkristo wa kweli huongozwa na upendo, haki, huruma, uvumilivu, heshima, adabu kwa watu wote, kiasi, ustahimilivu, upole na usafi wa moyo.
-Mkristo wa kweli hutoa alivyonavyo kwa ajili ya wengine na kamwe hawezi kuchukua vya wengine ili kujilimbikizia mali.
-Mkristo wa kweli hali kiapo cha aina yoyote ile wala haapi kabisa iwe ni kwa namna yoyote ile.
-Mkristo wa kweli haambatani na sanamu ya aina yoyote ile. Wala habebi msalaba wa aina yoyote ile.
-Mkristo wa kweli huzishika Amri zote za MUNGU na imani ya YESU KRISTO.

Mtu yeyote au kikundi chochote kile cha watu wanaojiita "wakristo" kama hawana hizo sifa hapo juu, hao siyo WAKRISTO. Crusaders hawakuwa WAKRISTO.
 
Nguvu ya Imani ya Kikristo ipo hapa.
Ni UPENDO na MSAMAHA

Mathayo 5:43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?
48 Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

Mathayo 6:14 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi.
15 Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.

Mathayo 18:21 Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?
22 Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.

Kama kuna Dini au Imani haina haya mambo mawili haitokani na Mungu.

Kwanini
Wanadamu wote awe mwema au mbaya ni kiumbe cha Mungu na anapendwa na Mungu.
M'baya unayemwona leo, kesho anaweza kutubu na kuwa mtu mwema sana wa kukubalika na Mungu.

Ni kama mtoto wako wa kumzaa, hata akiwa mbaya kiasi gani haiondoi upendo wako kwake.

Mungu anatupenda sisi sote na ametupa muda wa kutubu ili kumrudia na kuthaminiwa Naye.

Ukristo unasimama kwa kusikia Neno la Kristo na kulitekeleza.

Mathayo 28:18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Hivyo Imani yetu ni ya kumwamini Yeye tu basi.

Warumi 10:17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.

Basi tudumu katika Upendo na Msamaha. Mambo hayo yazidi dhahabu safi.

1 Wakorintho 13:13 Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
AMANI iliyo kuu ni amani ya Kristo tu aliyotuachia. Bila Kristo hakuna AMANI.

Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.

Yohana 20:19 Ikawa jioni, siku ile ya kwanza ya juma, pale walipokuwapo wanafunzi, milango imefungwa kwa hofu ya Wayahudi; akaja Yesu, akasimama katikati, akawaambia, Amani iwe kwenu.

Luka 10:5 Na nyumba yo yote mtakayoingia, semeni kwanza, Amani iwemo nyumbani humu;

Ukisikia Dini inamwua mtu wa mungu eti kisa kamkosea huyo mungu ujue hiyo dini sio ya Mungu.
Mungu ametoa muda wa maisha yao wanaomkosea kutubu.

Amani iwe kwenu
tashabuk alsalama
تصحبك السلامة
 
Usikalilishwe mkuu, hayo mengine ni siasa, M23 sio waislamu, kony sio Muislamu, Russia sio waislamu Ukuraini sio Waislamu Burma sio waislamu mkuu epuka kua victim wa western media propaganda uwe unachambua.
Kuongezea,
Hitler, IRA, RENAMO, FARC (Colombia) MAKABURU, Oath Keepers USA bila ya kumsahau TRUMP etc
 
Former AC Milan and Brazilian legend Kaka on the 2022 Qatar Fifa World Cup, He said:

"Muslims are peaceful, kind, generous and hospitable and do not attack anyone.

Europe and the West are lying and using fake news and propaganda.

This is the best Edition of the World Cup I have attended in my life in terms of organisation and reception."View attachment 2450626
Waislam ni watu wa amani sana. Mfano kwani alshabab wana tatizo gani, mbona alshabab ni watu wa amani sana! watu kama boko haram mbona ni wa amani sana, tatizo ni vyombo vya habari vya magharibi! atu kama alkaida mbona ni wazuri tu. Makundi yote haya huabuni hii dini ya ikumaa !!!! Mwenye akili amenielewa!!!
 
Back
Top Bottom