Kaka yake Mariah Carey amwita yeye ni shetani na mchawi

Kwani alimtuma afanye umalaya?
Au aliufanya akijua kuwa mwisho wake ni ukimwi!aende kwa obama healthcare

sidhani kila mwenye ukimwi alifanya umalaya...

wengine wanaletewa nyumbani...
wengine kwa bahati mbaya mfano madactari kijichoma sindano

etc al
 
Ila wazungu ni wabaya jamani

wana ngozi kama ya kitimoto

duhhhhh

cc rubii
 
Kama kweli aliamua kuwa kahaba ili akina Mariah wasome, anapaswa kumsaidia tena sana tu
yaani wakati dada anauza mwili, wadogo walipokea kiriho safi leo hii kulipa fadhila inakuwa nongwa.
nilijua haya yako huku kwetu ivi kumbe hata huko mbele yapo??
 
Huyo Morgan angemuomba shemeji yao wa zamani Nick awasaidie...Nick anaweza kutoa msaada kama njia ya kumkomoa Mariah Carey.
 
Umalaya kafanya yeye kwa sababu zake ila kwa kisingizio cha kuwatunza wadogo zake
Hivi hapakuwa na kazi nyingine hadi afunuliwe?
 
yaani wakati dada anauza mwili, wadogo walipokea kiriho safi leo hii kulipa fadhila inakuwa nongwa.
nilijua haya yako huku kwetu ivi kumbe hata huko mbele yapo??
Nilijua haya yapo huku kwetu tu, kumbe hata huko majuu zipo?
Mimi kiukweli, kutoka moyoni simlaumu hata kidogo huyu dada yake Mariah.
Btw mzima lakini?
Za miaka?
 
Nilijua haya yapo huku kwetu tu, kumbe hata huko majuu zipo?
Mimi kiukweli, kutoka moyoni simlaumu hata kidogo huyu dada yake Mariah.
Btw mzima lakini?
Za miaka?
mie mzima kabisa mumie si unajua tena buti la Magu adabu mkononi?
 
Umalaya kafanya yeye kwa sababu zake ila kwa kisingizio cha kuwatunza wadogo zake
Hivi hapakuwa na kazi nyingine hadi afunuliwe?
that was the one which was affordable to her.
kwan ni yeye wa kwanza kupata madhara ama ajali kazini?
inavyoonekana hata kama angepata kansa kwa mionzi ya jua kisa kufanya kazi ili wadogozake wasome huyu asingemkumbuka.
hivi unadhan kwa swala kama hili adi limefika kwenye mitandao kulikuwa na hiyo sababu??
angekuwa muungwana angetoa mchango wake, ama msaada na yasingejulikana kwetu sisi
 
itakuwa masharti yake ameambiwa asaidie mbwa na si ndugu zake
 
itakuwa masharti yake ameambiwa asaidie mbwa na si ndugu zake
am trying to imagine one being in her position and doing this..
kweli hata kama haumpendi unaouwezo kama yeye utashindwa kumsaidia nduguyo wa daamu?
ila atakuja kujirudishia mwenyewe ndipo atakaposoma namba
 
Hizo hela Mariah alitafuta na nani? Huyo Dada alishawishiwa kujiingiza katika ukahaba na Mariah? Au Mariah alifaidika na ukahaba wa dada yake? Ugomvi wao ulitokana na nini?
This is too much.. pamoja na kwamba hawakutafuta wote ila sio kigezo cha kutomsaidia. Kama huyo dada wakati anazaliwa angeua mama huyo maria angekuwepo? Haiingii akilini kushindwa kumsaidia dada yake
 
am trying to imagine one being in her position and doing this..
kweli hata kama haumpendi unaouwezo kama yeye utashindwa kumsaidia nduguyo wa daamu?
ila atakuja kujirudishia mwenyewe ndipo atakaposoma namba
huyu bibi hajielewi kabisa angetakiwa amsaidie ndugu yake hata kama wanaugomvi.. roho ya mtu kwanza ugomvi baadae .. sasa sijui akifa ndiyo atafurahi zaidi?
 
huyu bibi hajielewi kabisa angetakiwa amsaidie ndugu yake hata kama wanaugomvi.. roho ya mtu kwanza ugomvi baadae .. sasa sijui akifa ndiyo atafurahi zaidi?
na hayo masigara anayovuta asubiri zamu yake
hao mbwa wake watampelekea maua kaburini akifa?
 
Kuna watu wana roho ngumu hata kama mna ugomvi kalipie hospitali matibabu yafanyike na wala usiende kumwangalia kama hutaki, Huyo kaka mtu Aweke Namba ya Tigo Pesa tumsaidie chochote,

Hahahahahaha....duh mkuu unataka namba ya tigo uchangie
 
ha haha ni huzuni kwa kweli .. kumpa mbwa nafasi ya binadamu
muda mwingine tunajitoa ufaham ili kusuuza mioyo yetu lakin ukweli unabaki pale pale kwamba binadam ni binadamu tu, na hakuna kinachoweza kureplace nafasi ya mtu kwenye maisha ya mtu
 
Hahahahahaha....duh mkuu unataka namba ya tigo uchangie
Yeah kutoa ni moyo si utajiri, atupe hata namba ya yule shemeji yake wa zamani Nick Cannon asimamie hili zoezi, inaonekana huyu shemeji mpya anashindwa kumshauri mchumba wake aishi vipi na familia yake.
 
Yani mtu net worth ya $ 520 million unashindwa toa hata $30,000 kumtibia ndugu yako.....bongo wapo watu hawana utajiri wa kutisha kihivyo wanaweza spend $50,000 kumsomesha mtoto US or UK sembuse huyu Mariah.

Daah to be honest ana roho mbayaaaa. Ndio kukosana na ndugu yako wa damu kupo ila sio to the extent unamchunia on his/her death bed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…