Pre GE2025 Kaka yake Tundu Lissu: Atakayechaguliwa CHADEMA arekebishe Katiba ya Chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama.

Ameongeza kuwa kiongozi atakayechaguliwa atapaswa kuwa na jukumu la kurekebisha katiba ya chama chao ili kuhakikisha mafanikio ya chama.
nadhani hilo ni wazi na ni jambo la kawaida sana kwa kiongozi kufanya mabadiko kulingana na mahitaji ya wakati huo.

Nadhani Freeman Aikaeli Mbowe atakapothibitishwa kuchukua wadhifa huo Jan 22,2025, hatasita kufanya hivyo 🐒
 
Alute Munghwai, kaka wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza kuwa ni muhimu kurekebisha katiba ya chama hicho baada ya uchaguzi wa ndani ya chama.

Ameongeza kuwa kiongozi atakayechaguliwa atapaswa kuwa na jukumu la kurekebisha katiba ya chama chao ili kuhakikisha mafanikio ya chama.
View attachment 3191422
Kwahiyo mafaniko ya chadema yamekwama kwa sababu ya katiba? Mtu chake bwana!

By the way yapi yalikuwa malengo ya chadema ambao yamekwama, then from there tuyahusishe na ubovu wa katiba
 
nadhani hilo ni wazi na ni jambo la kawaida sana kwa kiongozi kufanya mabadiko kulingana na mahitaji ya wakati huo.

Nadhani Freeman Aikaeli Mbowe atakapothibitishwa kuchukua wadhifa huo Jan 22,2025, hatasita kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom