Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari?,jamani naomba msaada wa kuandika sentensi hii katika wingi: "kaka yangu ana mke"
Hichi kingleza kimetoka fesbuk.If at all u r crus, there iz a problem sum were.
Swali ndivyo linavyotaka?
Yeye alitarajia aambiwe 'kaka zangu wanawake', watu wengine bongo zao ni kiazi kwelikweli.'kaka zangu wana wake' ndicho ulichokitaka!!!
Kaka zako wanawake
Kaka zako wanawake
makaka yangu wana wake