SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
YesHuyo apo kwenye avatar ni wewe??
Jifunike
Ndio nimekuja hukuSasa si umtafutie.
Mwanaume sifa ni pesa tuSifa za mke anae mtaka kaka yako umeweka.
Sifa za kaka yako mbona hujaziweka au yeye mtakatifu?.
Hello swahibaukipata mdogo wako au kama ww pia unatafuta shababi nipo hapa niko single mwaka wa 5 sasa nna upwiru kama wote dadaangu nionee huruma
Mwambie ajiunge Badoo. Waliopo mule, ndio waliopo mtaani.Kaka yangu anatafuta mke mwema .
Sifa zake : awe ni mweupe , mrefu wastani , awe na umbo namba 8.
Awe tayari kuamia mwanza . Mkristo mcha Mungu na awe na kazi .
Weka namba zako inbox
Kwan wewe umeshapata
naam mrembo uko powa wwHello swahiba
Sio kweli
Huyo kaka yako anaetafuta mke mwema, ni wewe mwenyewe uliekuja na ID mpya ya kike ilhali behind the keyboard we ni dume SweetyCandy
Hapana umekosea pole kwa akili ya kuokotaHuyo kaka yako anaetafuta mke mwema, ni wewe mwenyewe uliekuja na ID mpya ya kike ilhali behind the keyboard we ni dume SweetyCandy
Hi , yes i amnaam mrembo uko powa ww