Kaka yangu anatafuta mke wakuoa

Kaka yangu anatafuta mke wakuoa

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Awe muislam . Awe anajua dini . Apende kusali, Awe anajali na awe ametulia .
Awe mrefu wastani.
Elimu awe nayo awe anajua lugha ya kingereza kaka yangu anakijua vyema .
AWe anajisitiri .
AWe anakazi nzuri.
Mawasiliano njo Dm nikupe nipo serious .
Miaka 27 mpaka 33 asiwe na mtoto .
good night hatuhitaji picha na yupo Arusha mjini yeye ana 28 years .
Picha na mawasiliano utampa yeye
 
Kwani anakoishi hakuna wanawake hadi aje kuwatafuta humu wasiojulikana? Bado kuna watu wanachagua dini badala ya utu na sifa muhimu? Basi mwambie aende msikitini au uarabuni atapewa.
 
Awe muislam . Awe anajua dini . Apende kusali, Awe anajali na awe ametulia .
Awe mrefu wastani.
Elimu awe nayo awe anajua lugha ya kingereza kaka yangu anakijua vyema .
AWe anajisitiri .
AWe anakazi nzuri.
Mawasiliano njo Dm nikupe nipo serious .
Miaka 27 mpaka 33 asiwe na mtoto .
good night hatuhitaji picha na yupo Arusha mjini yeye ana 28 years .
Picha na mawasiliano utampa yeye
JF hii utampata huyo mdada kweli?
Anyway, all the best!
 
Mm akipatikana wa kikristo mwenye sofa hzo anicheki namba yangu hii 0658917908 niko serious nahtaj mke
 
Nilitaka kuandika all the Best ila umeweka vigezo vya wadada sita tofauti
 
Back
Top Bottom