muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
Kaka yangu kaforwadiwa huo ujumbe na girlfriend wake. .mnautafsirije?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
she must come before your family
Kama mnamtegemea sana bro inabidi mjipange.
Yeye anaona cha mume wake ni haki yao, mnamcheleweshea maendeleo. Inategemea pia ametoka famila gani na malezi aliyokulia paia kipato chake. Familia za kiafrika kusaidiana ni desturi yetu, wifi haelewi wakati mnafanya kazi mnaweza kusaidia elimu ya watoto wake.Jaman kwli kwa miaka 3 hii inayofuata bado tunamtegemea sana wengine wanasoma kupitia huyohuyo nyinyi Dunia hii dah
Mchoyo tu huyu mwanamuke.Yeye anaona cha mume wake ni haki yao, mnamcheleweshea maendeleo. Inategemea pia ametoka famila gani na malezi aliyokulia paia kipato chake. Familia za kiafrika kusaidiana ni desturi yetu, wifi haelewi wakati mnafanya kazi mnaweza kusaidia elimu ya watoto wake.
Ana roho ya kimaskini.Mchoyo tu huyu mwanamuke.
Umetumia lugha Fasaha kabisa.Ana roho ya kimaskini.
Roho mbaya ya ubinafsi ki africa Africa kusaidiana muhimu aiseeeAna roho ya kimaskini.
Sisi familia ndiyo social security fund, ukimsaidia mdogo wako umewekeza.Roho mbaya ya ubinafsi ki africa Africa kusaidiana muhimu aiseee
Wengine hawakumbuki.Sisi familia ndiyo social security fund, ukimsaidia mdogo wako umewekeza.