Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika maisha ukitaka kuishi kama fulani utayacomplicate maisha yako sana, na hii wengi tunashindwa hili. Ukiishi kama wewe hata matatizo yako unaweza kuyakabili vizuri. Maisha ya maigizo yanatugharimu sana, unakuwa na tamaa, kila unachopata hakitoshi, mshahara wa mume pia unauona ni haki yako.Nime amini wanawake wengi ni wachawi na ukitaka kujua basi ingiza swala la ndugu.
Lazima pia ufikiri kabla ya kushauriana na huyo unayemuita mwili mmoja una jukumu kubwa la kuwalea wazee wako. Je katika hayo mashauliano akikugomea kuwalea wazee wako inavyotakiwa utachukua maamuzi gani kama mwanaume. Kumfuata mkeo au akili yako ya kuwatunza wazee wako.haijalishi mama ana thamani yake kubwa tu!Ila asiwe kigezo cha kumnyima furaha mtoto wake
ndo maana tunaambiwa tunawaacha wazazi wetu kuanza upya wawili!!
sisemi asimhidumie ile mke ana nafasi yake na mzazi ana nafas yake
kuna wakwe wengine hekima zero kabisa ktk ndoa za watoto wao na kama wataka mwanao asiwe guru na maisha yake basi kaa nae km mapambo tu !Ila akioa jua mke ndo mshauri wake mkuu and everything as long as mke nae anajua maana ya mke
Sawa unalosema. Ila nikuulize kidogo kwa maana hiyo wewe kuwasaidia wazazi wako ni mpaka wakwame. Huna wajibu wa kuwawezesha kabla hawajakwama kabisaaaa.Ndiyo maana ndoa zinakufa...mke au mmeo ndiyo mtu wa kwanza wa kumweleza kila kitu..kumthamin pindi mnapoaga kwa wazazi wenu pande mbili. Wengine wanakuja baadae wanapokwama. Kama mke au mme sio mtu wako wa kwanza kwa kila kitu ujue ndoa yenu inakasoro.
Umekubali kuhama kwenu ukaishi na mtu ambae mtashirikiana kila kitu katika maisha yenu hadi siku mtakapokufa why asiwe mtu wa muhimu kwako??
Suala la kutokumweka kama mtu muhimu kwako litakuja pale ambapo ataonekana hana nia njema na maisha yako kama unafiki...kutokukuthamin..kukuficha masuala yake..ila kama ni mume na mke bora huyu ndiye mtu wa muhimu kwako.
Huyo mwanamke anaekataa kulea wazazi wa mmewe ni mwendawazimu halafu hajielewei unashindwaj labda kuhudumia au kuwapenda wazazi walikuzalia mmeo?Lazima pia ufikiri kabla ya kushauriana na huyo unayemuita mwili mmoja una jukumu kubwa la kuwalea wazee wako. Je katika hayo mashauliano akikugomea kuwalea wazee wako inavyotakiwa utachukua maamuzi gani kama mwanaume. Kumfuata mkeo au akili yako ya kuwatunza wazee wako.
Msaada hadi mtu akwame mkuu. Vinginevyo ni zawadi. Na mzazi kusaidiwa sio kigezo cha kumuegesha mke wangu.. wanawake wa siku hizi nao wanamshara hivi utajiskiaje kama kichwa cha familia kila mke wako anapopokea mshahara 1/3 kila mwezi anatuma kwao na hakushirikishi..hayupo karibu na wewe zaidi ya ndugu zake..Sawa unalosema. Ila nikuulize kidogo kwa maana hiyo wewe kuwasaidia wazazi wako ni mpaka wakwame. Huna wajibu wa kuwawezesha kabla hawajakwama kabisaaaa.
Mkuu Shefwaa mimi nafikiri ni kila mtu kuheshimu mipaka yake tu. Mke abakie kama mke. Mama abaki kama mama. Baba abakie kama baba. Na wadogo zangu nao wabakie kama wadogo zangu. Kama ni msaada hata maofisini huwa tunatoa..njiani huwa tunatoa..mtu humjui ila unampa msaada.Lazima pia ufikiri kabla ya kushauriana na huyo unayemuita mwili mmoja una jukumu kubwa la kuwalea wazee wako. Je katika hayo mashauliano akikugomea kuwalea wazee wako inavyotakiwa utachukua maamuzi gani kama mwanaume. Kumfuata mkeo au akili yako ya kuwatunza wazee wako.
hahaaaaaa na washaanza kujipanga sio kwa kutafuta suluhu hiviKama mnamtegemea sana bro inabidi mjipange.
SO!
DAAH! KUMBE LUGHA UNAJUAshe must come before your family
Inashangaza sana mtu amekutana na kijana wa watu juzi tuu.. Alimkuta na ndugu zake na wazazi wake wako na raha na upendo leo hii inataka ampangie jinsi ya kuwasaidia..Katika maisha ukitaka kuishi kama fulani utayacomplicate maisha yako sana, na hii wengi tunashindwa hili. Ukiishi kama wewe hata matatizo yako unaweza kuyakabili vizuri. Maisha ya maigizo yanatugharimu sana, unakuwa na tamaa, kila unachopata hakitoshi, mshahara wa mume pia unauona ni haki yako.