Kaka yetu Ben Pol sio mwenzetu tena, kapata Dada Mkenya Mwenye Pesa kama zotee

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia Kenya, Uganda na Rwanda

Kaka yetu Ben paul inasemekana kapata mchumba raia wa Kenya dada anapesa kama zotee, Ben sasa ni mtu wa hewani tu now anaenda ulaya kama posta vile



 
Yeye si ni msanii, hawezi kuwa mwenzetu!!!
 
Pesa mbele kama tai kakaaa
Ahahaha sema wa Kenya wanajua kuzisaka na sio wagumu kuspend na wapenzi wao. Wana ile spirit flani ya kitasha kwamba wanaeza spend na mpenzi on thier own cash, ila ukute mmbongo hapo anasubiri mpaka uombe kwenda ATM kuongeza fungu jingine na hapo ana laki kwenye pochi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…