Kaka yetu Ben Pol sio mwenzetu tena, kapata Dada Mkenya Mwenye Pesa kama zotee

Kaka yetu Ben Pol sio mwenzetu tena, kapata Dada Mkenya Mwenye Pesa kama zotee

Wabongo kwa majungu na ku-conclude mambo bwana. Ukisoma humu post ni majungu tu yametamalaki. Kwa hiyi it is forbidden kuwa na demu aliyekuzidi kipato? Mwingine kamuita demu malaya, mwingine anakuambia demu mzee utadhani anamjua in and out. Mtu una conclude kama umekalia kipisi cha mboo, haya kama ni wapo kibiashara mapimbi mtasemaje? Na pia hata kama ni mapenzi kuna ubaya gani dogo kuwa na demu aliyemzidi kipato. Tuache ku hate mazafanta blacks - cursed race.
 
Back
Top Bottom