kama kupenda ni huko bac nashukuru kweli cjui kupenda....pweeeeh, nitoe pesa yangu haswaa kwa ajili ya ma2c, nitakuwa nina wazimu, pesa ya kinywaji/kula naweza kutoa tena mara moja moja icwe mazoea, nitoe pesa kwenda kuchosha mwili wangu 4 nothing, otee kabisa.
maty
Member Join DateTue Aug 2010Posts 29Thanks 0
Thanked 9 Times in 7 Posts
Hivi Mkuu Asprini uliumia kiuno? LINI?:confused2:
Hadi Maty ajue mi nisijue?
nilifikiri niko peke yangu. Wanawake hawanunui vocha kazi kuombomba tu hata kwa long time one night stance.
Kwani mnapo fanya ma2c nani haswa anafaidi?
Kama na wewe unafaidi unaona ubahili gani wa kulipia Guest au Lodge?
utadhani labda yeye anajua kuwa wewe unafanya kazi voda,zain,zantel,tigo hata hao wanaofanya kazi huko hawana ubavu wa kumwaga vocha kiasi hicho.
Niliyokutana nayo ilikuwa kali sijawahi kumpiga mzinga hata siku moja lakini nashangaa yeye kila siku mizinga mpaka nikawa najiuliza huyu mbona hashangai mimi demu simpigi mzinga wowote lakini yeye tu inakeraaaaaaaa
ishu sio kufaidi lakini cfanyi hiyo ki2, kwanza labda pia cjawahi kutumia mapenzi ya guest/lodge enzi hizo ndio mana naona mpya hii., yaani nitoe hela yangu kulipia guest? kwani hamna ma kwenu, kwanini wewe ucmpeleke kwako au yeye kama ana kwake akupeleke?
hahahahaha!
unakiita kipuli kimoja kuinabeba na wenzie sita......
kudadadadadeki wote wanatumia BAVARIA:becky::becky::becky::becky:
...na makange ya samaki pale salenda...sahani moja sh 12000
wanawashikiaga bastola muwatumie hizo credits au mnatuma kwa kujitolea? mnawaendekeza wenyewe.
cjaelewa unazungumzi uhusiano wa aina gani, hata akiwa mume/mchumba haruhucwi kuomba kama amekwama?
hehehe!ishu sio kufaidi lakini cfanyi hiyo ki2, kwanza labda pia cjawahi kutumia mapenzi ya guest/lodge enzi hizo ndio mana naona mpya hii., yaani nitoe hela yangu kulipia guest? kwani hamna ma kwenu, kwanini wewe ucmpeleke kwako au yeye kama ana kwake akupeleke?
jaribu kulipia gesti uone kama haitasimama.......kwa hiyo na condom anunue yeye?sasa mdada upelekwe guest na pesa unatoa yeye, unaenda kufanyaje kama sio kulalwa?...hivi na mwanaume kabisa anacmamisha? khaaa kuna mapenzi ya ajabu kweli.
Infidelityπeep:πeep:πeep::hurt:
:becky::becky::becky::becky:jaribu kulipia gesti uone kama haitasimama.......kwa hiyo na condom anunue yeye?
wanawashikiaga bastola muwatumie hizo credits au mnatuma kwa kujitolea? mnawaendekeza wenyewe.
kama kupenda ni huko bac nashukuru kweli cjui kupenda....pweeeeh, nitoe pesa yangu haswaa kwa ajili ya ma2c, nitakuwa nina wazimu, pesa ya kinywaji/kula naweza kutoa tena mara moja moja icwe mazoea, nitoe pesa kwenda kuchosha mwili wangu 4 nothing, otee kabisa.
:becky::becky::becky::beckyπ±kay tuendelee.....
jaribu kulipia gesti uone kama haitasimama.......kwa hiyo na condom anunue yeye?
hapa nazungumzia nyie ambao hamjaoa/olewa, kwanini mcpelekane ma kwenu au ndio una ""beep"" so huweiz ikupeleka kila mtu home?
Hiyo haina shida nyamayao na ndio maana nimesema usubiri akupe ofa sio unalazimisha. Na bora wewe ni mumeo sasa hy ni boyfriend ana mizinga balaa akikuoa si ndio kila kitu utagharamia wewe