Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
kama kupenda ni huko bac nashukuru kweli cjui kupenda....pweeeeh, nitoe pesa yangu haswaa kwa ajili ya ma2c, nitakuwa nina wazimu, pesa ya kinywaji/kula naweza kutoa tena mara moja moja icwe mazoea, nitoe pesa kwenda kuchosha mwili wangu 4 nothing, otee kabisa.
Kwani mnapo fanya ma2c nani haswa anafaidi?
Kama na wewe unafaidi unaona ubahili gani wa kulipia Guest au Lodge?