Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

Kaka zangu jitahidini kuulinda uanaume wenu

kwasababu wakoje waliotoka huko?mschweee![/QUOTE]

Wapo pesa mbele " Asante kwenye blue" Ila wakija huku twn wanafikiri waliyotoka nayo huku ni kuishi kimjini mjini haki sawa kwa wanaume na wanawake hakuna mkopio:lol::violin:

kwikwikwi!!!!!!!!! ama kweli huku mjini haki sawa mpaka ukaamua kuolewa ili ulelewe
 
Duh!we dada hiyo ni stail ya nchi gani? Kila mtu ana ratiba zake na mipangilio ya matumizi ya pesa yake so kama unam call m2 for out it is your responsibility to clear all the bill you've used together perhaps u've insufficient money pia anayetolewa out anatakiwa kuwa na some amount of money for the emergency.
 
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji unalipa wewe, sasa uliniitia nini kama unaona huna hela. Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha? nisiwafiche kaka zangu ni bora usimpe mwanamke hela wewe ukumuita mpe ofa ya nguvu kisha mrudishe kwao atakuheshim lakini wewe usiombe hela kwa mwanamke ni dharau kubwa mno hata kama huna kipato kikubwa mwanamke kakuzidi we jikaushe tu anaweza kukupa mwenyewe (NOTE: MWANAUME NI AIBU KUPIGA MZINGA NI MWIKO)

Na wewe dada utakubalije kuitwa au kuwa na kapuku? Tafuta mshefa banaa ala!!!
 
Dadangu mambo yanabadilika hivi sasa. Suala la kutoa ofa si la mwanaume tu. Nyie wenyewe kila siku mnalia na 50 kwa 50. Sasa ukiambiwa tu ulipie vinywaji unapiga kelele. Je ukiambiawa ulipie guest na bado jamaa anakutafuna utafanyaje. Unatakiwa ubadilike lipia ofa kwa furaha

hakuna shida so long as mnatafunana. kwani nani alsema wanawake ndo wanatafunwa? hata wao raha wanaisikia, so no big deal kulipia guest:mad2:
 
Ni kweli usemayo mtoa mada ila tu nadhani mambo mengi tu yamebadilika kwa sasa wanaume wengi tu wanapiga mizinga ni tegemezi, wanategemea kuhongwa yaani karibu sawa tu na wanawake na vile vile rate ya cheating kwa jinsia zote karibu inalingana -tofauti na zamani ambapo hii ilikuwa domain ya kina baba.

Sijui ni madhara ya globalization na mabo ya empowering hayo au ni nini? bado najiuliza.

Samahani inawezakuwa off topic... nani anafahamu studies zozote zilizofanywa Tanzania juu ya impact ya utandawazi kwenye ndoa?? Najua nyingi zimefanywa kwenye maadili ya familia zikifocus watoto tineja.
 
ULIPOINGIA JAMll FORUMS ulikuja na mbinu yako ya kusakasaka mume, vipi, ndio umepata mpiga mizinga nini?
Waume wengi wa siku hizi (sio wote) ndio maana tunawaita wanaume suruali mwanaume kazi kupiga mizinga mara nitumie vocha, au anakuita kukupa ofa halafu anasema mimi nalipia chakula vinywaji unalipa wewe, sasa uliniitia nini kama unaona huna hela. Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha? nisiwafiche kaka zangu ni bora usimpe mwanamke hela wewe ukumuita mpe ofa ya nguvu kisha mrudishe kwao atakuheshim lakini wewe usiombe hela kwa mwanamke ni dharau kubwa mno hata kama huna kipato kikubwa mwanamke kakuzidi we jikaushe tu anaweza kukupa mwenyewe (NOTE: MWANAUME NI AIBU KUPIGA MZINGA NI MWIKO)
 
jamani si mnataka haki sawa au ni baadhi ya maeneo tu?
 
ahh asepe uko
yan aje anidandie na bili nilipie ??????utan uo
bt km ni wangu wa long time sio ntakuwa naju kipato na miipango yake?so si issue km akiwa amaeishiwa poa ntampa tafu lakin si akina john awa wa njian siwez nkachangia wakat najua nia yake ni nyeusi kwangu!!!!!!1
 
ULIPOINGIA JAMll FORUMS ulikuja na mbinu yako ya kusakasaka mume, vipi, ndio umepata mpiga mizinga nini?

Mh hii tena imefufukia wapi? mi hapa wala simo
 
Buji kaka mbona unaua mazima??

Watu wana kumbukumbu!

Kumbu kumbu hiyo sio ya bure MJ1 huyu ni mmoja wapo ya waliotangaza nia halafu akaja na mizinga kibao ikabaunce ndio maana hajasahau mpaka leo
 
hakuna shida so long as mnatafunana. kwani nani alsema wanawake ndo wanatafunwa? hata wao raha wanaisikia, so no big deal kulipia guest:mad2:

Hata kama tunatafunana jamani tukiachana na hili swala la usawa mwanaume na mwanamke kuna maeneo fulani lazima mtofautine sasa hili la kupiga mizinga limekaa kike zaidi mwanaume ukijiingiza humu haipendezi we komaa tu na uanaume wako hata kama gf/mke wako anakuzidi kipato hata mkitoka we agiza kulingana na mfuko wako na mwenzio anaweza kuendeleza ofa lakini kwa mapenzi yake ni c kwa wewe kumwambia fanya hiv mbona cc tukishapenda tunatoa tu bila kuombwa?
 
bado nasubiri ripoti ya jumamosi....ileee......how was it

halafu hapa kuna nini manake huko Zenji anaapishwa Shein!
 
bado nasubiri ripoti ya jumamosi....ileee......how was it

halafu hapa kuna nini manake huko Zenji anaapishwa Shein!

We nawe c nilishakuambiaga kipi kilitokea? labda jumamosi hii cjui itakuwaje maana cku ile eliza alificha valuu alikasirika kwa nini kaenda na mimi akaona ka namzibia
 
Uko sawa, bati kuna maneno yanaonyesha uko dunia ya nyuma sanaaaaaaaaaaaaaaa.[Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha?], nyie si ndio mnaodai gender equality?. pls lets continue, na yatakuja zaidi ya hayo ujiandae tu dada yangu.

SIKILIZA DADA MSEMO HUU: IF U CAN NOT AGREE WITH DA CHANGES , THEN YOU WILL BE A VICTIM OF CHANGES (KAMA HAUKUBARIANI NA MABADILIKO THEN UTAKUA MUATHILIKA WA MABADILIKO HAYO). SO TAKE CARE
 
Na wewe dada utakubalije kuitwa au kuwa na kapuku? Tafuta mshefa banaa ala!!!

Wala c kapuku kihivyo basi tu midume mingine haina haya lol
 
Pole sana dada maty.....siku nyingine tafuta vidume kama sisi ambao tunaamini katika infidelity......Tuna rule yetu moja inayosema ni jukumu la infideleta kugharamia zoezi zima la infidelity kwenye first date. Usisahau second date inategemea na kilichotokea kwenye first date........
hahaha asprin ww kwa hiyo kama matokeo ya first date hayakuwa mazuri,what next?
 
hahaha asprin ww kwa hiyo kama matokeo ya first date hayakuwa mazuri,what next?

Unahamia Plan B. Kwani first date unachumbia hapo hapo? matokeo yakiwa mabaya ndo bye bye tena:bowl::bowl::bowl:
 
Back
Top Bottom