Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
- Thread starter
- #161
Uko sawa, bati kuna maneno yanaonyesha uko dunia ya nyuma sanaaaaaaaaaaaaaaa.[Acheni kujidharaulisha kaka zangu mwanaume mzima utamuombaje mwanamke vocha?], nyie si ndio mnaodai gender equality?. pls lets continue, na yatakuja zaidi ya hayo ujiandae tu dada yangu.
SIKILIZA DADA MSEMO HUU: IF U CAN NOT AGREE WITH DA CHANGES , THEN YOU WILL BE A VICTIM OF CHANGES (KAMA HAUKUBARIANI NA MABADILIKO THEN UTAKUA MUATHILIKA WA MABADILIKO HAYO). SO TAKE CARE
Hiyo gender equality ndio inasababisha ndoa nyingi za cku hizi hazidumu, na hizo changes nakubaliana nazo ila mizinga ikizidi haipendezi mimi ni mwanamke lakini mpaka nafikia kuomba ujue nimezidiwa sasa mwanaume unashindwaje kuona aibu? hata wanaume wakipata mwanamke mwenye mizinga sana wanakimbia