Kakaange Ugoro

ugoro unatengenezwa na tumbaku na magadi as malighafi .....ila sijui wanatengeza vipi lkn
na magadi yakizidi mdomo unachubuka kabisa(vidonda)

sjawah kuuzoea lkn
 
Mmea wa kondeni ni bora zaidi...bora zaidi usichanganywe na chochote ....asili huponya.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kaaanga ugoro
@mshanajr umetutupa topeni ukatuacha tukauke na jua,kweli tutatazamika?Ujumbe wenye jumbe kwa juha aona ugoro bali kwa fanani ubani wapi wewe gulu na taadhima zako?Ahh Lugola,ni vip n'ang'a avae thamani ya utu?Karma itajibu
 
@mshanajr umetutupa topeni ukatuacha tukauke na jua,kweli tutatazamika?Ujumbe wenye jumbe kwa **** aona ugoro bali kwa fanani ubani wapi wewe gulu na taadhima zako?Ahh Lugola,ni vip n'ang'a avae thamani ya utu?Karma itajibu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee nimecheka sana unatazama kushoto kulia
Hayo mate unatema kama swalaa
Noma sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mawazo mbadala
Mawazo mbadala=nishati ya ulevi mbadala.Wacha tukaange ugoro tu na tumsubiri kipanya maana anaelekea Iringa kwa mguu kumtafuta Hobby.Ika kaka mshana kwa mahitaji ya Kaunda suti zilizonaksiwa na bendera ya Tanzania. na raba mtoni kali sana;nitafute!
 
Mawazo mbadala=nishati ya ulevi mbadala.Wacha tukaange ugoro tu na tumsubiri kipanya maana anaelekea Iringa kwa mguu kumtafuta Hobby.Ika kaka mshana kwa mahitaji ya Kaunda suti zilizonaksiwa na bendera ya Tanzania. na raba mtoni kali sana;nitafute!
😳 😳 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Hayo mahitaji mateja watakuwa wachache labda kaange ugoro n co.Ltd πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hehe hatari master jr mie kitu yangu huwa inatoka mombasa namalizia kipakti cha mwisho hapa inatengenezwa na tumbaku pure na magadi watu wa mitishamba wanajua kwann tunaweka magadi ndani hehe ngoja ni myante kwanza
 
Dah umenikumbusha wakati napiga college shule nzima nilijua nipo peke yangu kumbe kuna msela alikuwa anatafuta nani anaetupa vifuko nyuma ya dom hehe
 
Ugoro wa kubwia bora upate ule wa Arusha, Moshi, Singida umechanganywa na kiminika sio wa vumbi wa kimasai wa pwan uku ubwie ni balaa kwa anae anza........

Kuna jamaa angu alishoboka na wa kimasai tukiwa Tour Manyara atokaa asau iyo siku maana alitaman ata alale ila usingiz amna.......!
 
Bibi yangu ana miaka 100 naa ameanza kula ana miaka 14 na hadi leo yuko fit na ana meno yote
Bibi yangu alifariki akiwa na miaka 99 na alikuwa akila ugoro!! Babu amefariki akiwa na miaka 100 na alikuwa akinusa ugoro!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…