Kakaange Ugoro

Kakaange Ugoro

ugoro unatengenezwa na tumbaku na magadi as malighafi .....ila sijui wanatengeza vipi lkn
na magadi yakizidi mdomo unachubuka kabisa(vidonda)

sjawah kuuzoea lkn
 
Kilevi pendwa cha asili kinachotumiwa na watu wazima huko vijijini hapo zamani... Baadae kikaja kuwa umaarufu kwa wamasai na sasa ndio Kama fasheni kwa vijana wa kileo(maybe kutokana na vyuma kupata kutu)
Ugoro una mapishi yake... Sijawahi kuyaona na sijui wanatumia malighafi gani kuutengeneza....Ninachofahamu kuhusu ugoro ni kimoja.... Matumizi yake unaweka chini ya mdomo wa mbele kwa ndani halafu ni lazima uteme mmate mrefu mweusii tii.... Inachefua sana....

Nimeambiwa huko maofisini hata waheshimiwa ni wateja wakubwa wa hiki kilevi baada ya kuharamishwa kwa mmea na vijana wengi kukamatwa... Waheshimiwa wengi ni watumiaji wa mmea jani kavu lakini upatikanaji wake una mizungu mingi... Hivyo sasa kwakuwa ugoro haujaharamishwa wengi wameanza kuwa wafuasi...
Ugoro ni bidhaa ilikamilika kwa matumizi... Huwesi kuupika tena.....
Kakaangu anatoa tu ultimatum, b kujali cheo na nafasi ya mtu... Ultimatum za masaa 12, 24, 48, 72 na kuendelea...

Bobby haonekani... Kapotea ama pengine kapotezwa.... Imetolewa ultimatum imetolewa sharp kwa haraka! Duuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115]..... TUNAKAANGA UGORO.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 815451
Mmea wa kondeni ni bora zaidi...bora zaidi usichanganywe na chochote ....asili huponya.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kaaanga ugoro
@mshanajr umetutupa topeni ukatuacha tukauke na jua,kweli tutatazamika?Ujumbe wenye jumbe kwa juha aona ugoro bali kwa fanani ubani wapi wewe gulu na taadhima zako?Ahh Lugola,ni vip n'ang'a avae thamani ya utu?Karma itajibu
 
@mshanajr umetutupa topeni ukatuacha tukauke na jua,kweli tutatazamika?Ujumbe wenye jumbe kwa **** aona ugoro bali kwa fanani ubani wapi wewe gulu na taadhima zako?Ahh Lugola,ni vip n'ang'a avae thamani ya utu?Karma itajibu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ugoro a.k.a dawa, tope ni hatari sana.. 'Rizimu' yake ipo fasta, ukitia tuu mdomoni stimu zinapanda.. Jiloge umeze mate, tumbo na mwili vitakaa vibaya siku nzima..

Ni rahisi na salama kubeba, unatia ndani ya soksi au wallet.. Kutumia pia rahisi, unatizama kushoto kulia nyuma mbele unatia mdomoni, utajulikana kwa hayo mate utakavyokua unatema kama swila...
Aisee nimecheka sana unatazama kushoto kulia
Hayo mate unatema kama swalaa
Noma sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mawazo mbadala
Mawazo mbadala=nishati ya ulevi mbadala.Wacha tukaange ugoro tu na tumsubiri kipanya maana anaelekea Iringa kwa mguu kumtafuta Hobby.Ika kaka mshana kwa mahitaji ya Kaunda suti zilizonaksiwa na bendera ya Tanzania. na raba mtoni kali sana;nitafute!
 
Mawazo mbadala=nishati ya ulevi mbadala.Wacha tukaange ugoro tu na tumsubiri kipanya maana anaelekea Iringa kwa mguu kumtafuta Hobby.Ika kaka mshana kwa mahitaji ya Kaunda suti zilizonaksiwa na bendera ya Tanzania. na raba mtoni kali sana;nitafute!
😳 😳 😀 😀 😀 😀 😀 Hayo mahitaji mateja watakuwa wachache labda kaange ugoro n co.Ltd 😀 😀 😀
 
Hehe hatari master jr mie kitu yangu huwa inatoka mombasa namalizia kipakti cha mwisho hapa inatengenezwa na tumbaku pure na magadi watu wa mitishamba wanajua kwann tunaweka magadi ndani hehe ngoja ni myante kwanza
 
Ugoro a.k.a dawa, tope ni hatari sana.. 'Rizimu' yake ipo fasta, ukitia tuu mdomoni stimu zinapanda.. Jiloge umeze mate, tumbo na mwili vitakaa vibaya siku nzima..

Ni rahisi na salama kubeba, unatia ndani ya soksi au wallet.. Kutumia pia rahisi, unatizama kushoto kulia nyuma mbele unatia mdomoni, utajulikana kwa hayo mate utakavyokua unatema kama swila...
Dah umenikumbusha wakati napiga college shule nzima nilijua nipo peke yangu kumbe kuna msela alikuwa anatafuta nani anaetupa vifuko nyuma ya dom hehe
 
Ugoro wa kubwia bora upate ule wa Arusha, Moshi, Singida umechanganywa na kiminika sio wa vumbi wa kimasai wa pwan uku ubwie ni balaa kwa anae anza........

Kuna jamaa angu alishoboka na wa kimasai tukiwa Tour Manyara atokaa asau iyo siku maana alitaman ata alale ila usingiz amna.......!
 
Bibi yangu ana miaka 100 naa ameanza kula ana miaka 14 na hadi leo yuko fit na ana meno yote
Bibi yangu alifariki akiwa na miaka 99 na alikuwa akila ugoro!! Babu amefariki akiwa na miaka 100 na alikuwa akinusa ugoro!!!
 
Back
Top Bottom