Nilimuuliza babu yangu anapata ladha gani hakuniambia ikabidi nitest...
Ilinichukua miaka 15 kuweza kuacha hata sasa naona ni kwa Neema za Mungu tuu.
Kuna namna kichwa na masikio vinakuwa unapata hisia nzuri sana.. Njoo Arusha nikutafutie utestUlikuwa unajisikiaje?