Kakaange Ugoro

Kakaange Ugoro

Nilimuuliza babu yangu anapata ladha gani hakuniambia ikabidi nitest...

Ilinichukua miaka 15 kuweza kuacha hata sasa naona ni kwa Neema za Mungu tuu.

Ulikuwa unajisikiaje?
 
yaani mm namshukuru mungu vilevi vyote vimenishinda ugoro ikiwemo. kuna rafiki yangu moja anatumia ugoro. anahamisha hamisha mara mdomo wa juu mara wa chini ukimuuliza kwanin anahamisha hamisha anakuambia imepoteza sense yaani cell zimekufa.hafeel ukali wake. nimemshauri achana naye lakini wpi. addiction ni balaa. asipotumia anasema mtandao wote inasoma sufuri. ( kichwa chake). yaani ni shidaaa .
 
Hii kitu ukipiga kwa pupa haswa kama ni mara ya kwanza unaweza kujinyea mzigo kama kilo tatu hivi....hiyo ndiyo pona yako shukuru.
 
Back
Top Bottom