Kakae Barack Obama: Kenya Inatawaliwa Na Kabila Moja, Sio Vizuri

Mimi ninahisi ujui maana ya ukabila na athari zake, sio rahisi kuelewa kwa kuambiwa humu jamvini, ninakushauri uvuke mpaka uingie Kenya kwa wiki mbili tu, utashika adabu yako na hutozungumza tena.
 
UVCCM chairman ni mpwa wa ******** na amepitisha miaka ya kuwania na kuongoza nyadhiifa hiyo. Can each country remove the log in their own eyes please.

Hii habari ya Malik sijawahi kuisikia tena na ni ya uongo kabisa.
 
Mimi ninahisi ujui maana ya ukabila na athari zake, sio rahisi kuelewa kwa kuambiwa humu jamvini, ninakushauri uvuke mpaka uingie Kenya kwa wiki mbili tu, utashika adabu yako na hutozungumza tena.
Tuombe Mungu nitavuka tu Hapo Namanga.
Ila nasikia sisi ndio tulikamata ng'ombe wao na kuwaua. Wamasai wa kwao walikamata wetu wakatuachia bila kulipa kisasi. Sisi tulichoma vifaranga wakiwa hai. Wao wamesamehe.

Mimi kubaguliwa na wakenya sitaona Tatizo la ukabila. nitaelewa kwakua sio Raia.

Japo kuna wachagga wanaoshi kule miaka nenda miaka rudi. Hadi yule Mwanamuziki wa nyimbo za injili Munishi amehamia Kenya anaishi bila matatizo kabisa.
 
Mimi ninakushauri uwe unapata muda wa kujielimisha jambo kabla ya kujibu, vinginevyo utajishushia hadhi mbele ya jamii, hivi ukimshika mtu ameingiza wanyama katika shamba lako, na ukawakamata na kuwapeleka katika vyombo vya sheria, muhusika akatozwa faini na akashindwa kulipia, wanyama wakauzwa kwa mujibu wa sheria, kesho yake wewe ukapeleka mifugo yako kwenye shamba lake, yeye hakuchukua hatua zozote wakati anapaswa kuzikamata na kuzipeleka mbele ya sheria, nani anayevunja sheria?, kama kweli ni watu wazuri, mbona zile ng'ombe za wamasai zilizoingizwa katika shamba la tajiri kule Kenya, polisi walizipiga risasi karibu 300 na kuziua, iweje waziache za Tanzania lakini wanaua za wananchi wao?
 
UVCCM chairman ni mpwa wa ******** na amepitisha miaka ya kuwania na kuongoza nyadhiifa hiyo. Can each country remove the log in their own eyes please.

Hii habari ya Malik sijawahi kuisikia tena na ni ya uongo kabisa.
Hayo ni maneno ya vijiweni hayo, hayana ukweli wowote utasikia humu mitandaoni tu, sisi hatujalelewa hivyo, na wala hatukumbatii mambo ya kipuuzi kama hayo, we are civilized people.
 
Mimi ninahisi ujui maana ya ukabila na athari zake, sio rahisi kuelewa kwa kuambiwa humu jamvini, ninakushauri uvuke mpaka uingie Kenya kwa wiki mbili tu, utashika adabu yako na hutozungumza tena.
Mkuu kuna watu wanadhani changamoto chache tulizonazo Tanzania ni sawa na ukabila uliokubuhu wa taifa la Kenya. Kenya kila kitu ni ukabila, huwezi kupata huduma kwenye bar, duka mgahawa nk kwenye biashara ya mkamba wakati wewe ni mkikuyu. Lazima utafute biashara za mtu wa kabila lako. Hawa watoto tulionao hapa hawayajui hayo. Furaha tuliyonayo Tanzania kwa kuyazika makabila yetu kwakuwa wote tumesimama kama watanzania, hali kama hiyo wenzetu Kenya wanaitafuta kwa tochi. Na kila uchaguzi unapopita Kama hivi wakenya wanatoneshana vidonda vyao.
 
Mkuu upo sahihi kwa maana ya kujipa muda kabla kujibu lakini, nimeshakujibu kua kama nitaenda Kenya na kubaguliwa nitajua kwasababu mimi sio Raia wa kenya na si vinginevyo.
Pia nakubali kua ukabila una degree yaani level of intensity. Inawezekana zipo sehemu ubaguzi ni mkubwa kuliko sehemu zingine. Hata sisi Tanzania tuna hilo tatizo sana tu. Mfano Pemba na unguja.
 
Hayo ni maneno ya vijiweni hayo, hayana ukweli wowote utasikia humu mitandaoni tu, sisi hatujalelewa hivyo, na wala hatukumbatii mambo ya kipuuzi kama hayo, we are civilized people.
Hata ya hapa Kwetu ni ya mitandaoni na vijiwe tu na hatukumbatii mambo ya kipuuzi kama nayo, we are a civilized people.
 
Kuna mbegu inapandwa huko ziwani ngoja tusubiri TiS, Uvchichiem,CDF
 
Hapo umegusa penyewe, wakenya na wazanzibar ni baba mmoja na mama mmoja, wote ni wabaguzi sana, kenya ni wabaguzi wa kabila wakati Zanzibar ni wabaguzi wa eneo la mtu alikozaliwa, Unguja na Pemba.

Wewe ukienda Kenya hutobaguliwa kwa sababu wewe sio miongoni mwa makabila yao, labda kama wewe ni mjaluo wa Tanzania, hapo ukabila utakugusa japo kidogo, lakini utaona jinsi wanavyobaguana kwa misingi ya ukabila, kama hapo ulipo ni wajaluo, nasi mkikuyu hana chake, na utasikia mkikuyu akikuambia ni jinsi gani anavyonyanyasika mahali hapo, vivyo hivyo kwa mjaluo maeneo ya wakikuyu, kila eneo lazima liwe dominated na kabila moja kati ya yale big five, yaani ni shida, sio sehemu ya kuishi hiyo nchi.
 
Ok, Nimekusoma vizuri mkuu
 
Hata ya hapa Kwetu ni ya mitandaoni na vijiwe tu na hatukumbatii mambo ya kipuuzi kama nayo, we are a civilized people.
Tribalism in public institutions worrying
Hii pia ni mitandaoni?, kama hadi Universities ukabila umetawala, ndiyo sababu you have very incompetent civil engineers characterised by collapsing of buildings daily, that's why your planning phases of nearly all government projects are very superficial.
 
Huyu jamaa nilimwona wa hovyo pale alivyotumika kumhujumu brother Obama wake ili ashindwe uchaguzi kule marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…