pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Uchaguzi uliopita watu wa Kondele kule kwa kina Obama hawakumpa hata kura ishirini! Useless man.Huyu jamaa nilimwona wa hovyo pale alivyotumika kumhujumu brother Obama wake ili ashindwe uchaguzi kule marekani.
Jinga kabisa wewe, UVCCM chairman ni mzanzibari na kwa sasa ni Mbunge pia, anaitwa Sadifa. Siku nyingine usilete habari za vichochoroni.UVCCM chairman ni mpwa wa ******** na amepitisha miaka ya kuwania na kuongoza nyadhiifa hiyo. Can each country remove the log in their own eyes please.
Hii habari ya Malik sijawahi kuisikia tena na ni ya uongo kabisa.
Tanzania kama siyo CCM unaweza kujivunia? Ni bora ukikuyu kuliko U-CCM; Sina cha kujivunia na taifa hili, heri kuishi Somalia kuliko Tanzania ambako serikali inapiga risasi watu mchana kweupe.
Mpwa wa ******** Kipala?Jinga kabisa wewe, UVCCM chairman ni mzanzibari na kwa sasa ni Mbunge pia, anaitwa Sadifa. Siku nyingine usilete habari za vichochoroni.
Waterloo safari hii mna kazi sana.Magufuli nae anaendekeza wasukumba na Lake zone mwache hiyo mbegu anayoipanda inaota.
Mara nyingine mtu akishashiba ugali wa muhogo na dagaa wa mwanza "kauzu" anapata ndoto mchana hata akiwa amekaa kijiweni. Watu wamelewa furaha tuliyonayo wanatamani vitu vibayaMkuu,
Somalia unaisikia au unaifahamu!?
Acha kuomba mambo usiyoweza kuyahimili!!
kazi ya niniWaterloo safari hii mna kazi sana.
Naijua ndiyo maana nimeitaja hapa; na wewe Tanzania unaijua unaisikia? Una amani wewe? Amani ya watu kutekwa? Kupigwa risasi? Au nawe ni wale wale?Mkuu,
Somalia unaisikia au unaifahamu!?
Acha kuomba mambo usiyoweza kuyahimili!!
Tayari nimeshahamia, karibu na wewe. Mnahangaika na Kenya wakati kwenu hata kujadili tu siasa mnazuiwa, siasa is all about your life, wajinga tu ndo mpaka wanapangiwa cha kusema.Mbaba kwani umefungwa kamba. Njia IPO wazi. Hamia Kenya hapo, Id yako tu.
Naijua ndiyo maana nimeitaja hapa; na wewe Tanzania unaijua unaisikia? Una amani wewe? Amani ya watu kutekwa? Kupigwa risasi? Au nawe ni wale wale?