Kakae Barack Obama: Kenya Inatawaliwa Na Kabila Moja, Sio Vizuri

Kakae Barack Obama: Kenya Inatawaliwa Na Kabila Moja, Sio Vizuri

UVCCM chairman ni mpwa wa ******** na amepitisha miaka ya kuwania na kuongoza nyadhiifa hiyo. Can each country remove the log in their own eyes please.

Hii habari ya Malik sijawahi kuisikia tena na ni ya uongo kabisa.
Jinga kabisa wewe, UVCCM chairman ni mzanzibari na kwa sasa ni Mbunge pia, anaitwa Sadifa. Siku nyingine usilete habari za vichochoroni.
 
Tanzania kama siyo CCM unaweza kujivunia? Ni bora ukikuyu kuliko U-CCM; Sina cha kujivunia na taifa hili, heri kuishi Somalia kuliko Tanzania ambako serikali inapiga risasi watu mchana kweupe.

Mkuu,
Somalia unaisikia au unaifahamu!?
Acha kuomba mambo usiyoweza kuyahimili!!
 
Mkuu,
Somalia unaisikia au unaifahamu!?
Acha kuomba mambo usiyoweza kuyahimili!!
Mara nyingine mtu akishashiba ugali wa muhogo na dagaa wa mwanza "kauzu" anapata ndoto mchana hata akiwa amekaa kijiweni. Watu wamelewa furaha tuliyonayo wanatamani vitu vibaya
 
Kenya wamepatia sana kumpa nchi Uhuru huyu msukuma Raila akatawale tu Chato ukuu wa wilaya ingependeza !
 
Mkuu,
Somalia unaisikia au unaifahamu!?
Acha kuomba mambo usiyoweza kuyahimili!!
Naijua ndiyo maana nimeitaja hapa; na wewe Tanzania unaijua unaisikia? Una amani wewe? Amani ya watu kutekwa? Kupigwa risasi? Au nawe ni wale wale?
 
Mbaba kwani umefungwa kamba. Njia IPO wazi. Hamia Kenya hapo, Id yako tu.
Tayari nimeshahamia, karibu na wewe. Mnahangaika na Kenya wakati kwenu hata kujadili tu siasa mnazuiwa, siasa is all about your life, wajinga tu ndo mpaka wanapangiwa cha kusema.
 
Back
Top Bottom