Kakakuona anaitwaje kwa Kiingereza?

Kakakuona anaitwaje kwa Kiingereza?

Huyu mnyama adimu nimekuwa nikitafuta jina lake kwa kizungu au jina la kisayansi tafadhali mwenye kujua anijuze
Hawa wanyama wawili wanafanana sana
Mmoja anapatikana South America ambae ni Armadillo
Na anaepatikana kwetu ni Pangolin
20181224_182940.jpeg
20181224_183012.jpeg
 
Back
Top Bottom