Kakamega New Teaching and Referral Hospital

Kakamega New Teaching and Referral Hospital

Kenya health system ya hovyo kabisa

Ikitakiwa kuimarisha health centres huko vijijini ili kupunguza idadi ya wagonjwa kwenye hospitali kubwa

Tanzania walianza kwanza na mtandao Mkubwa wa Zahanati ambazo zinapatikana almost kila kijamii then unakutana na vitu vya afya ambazo zinakuwa kwenye kila kata then zinafuata hospitali za Wilaya /Halmashauri ndipo zinakuja hospitali za rufaa za mikoa ambako matibabu ya kibingwa yanaanzia then zinakuja za rufaaa za Kanda matibabu ya kibingwa kwa Kanda husika ndipo inakuja hospitali zenye ubobovu maalumu kama Kansa,moyo, figo n.k
EYY3grTUEAIYVQW.jpeg
 
Back
Top Bottom