jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Kakobe ni mfuasi wa CDM na anamachungu ya kutoteuliwa kwenye bunge la katiba,lazima aseme chochote
Tapeli wa kutupwa, kuaibia maskini na wasiojiweza.....ila kuna pointi kaongea za kukubalika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakobe ni mfuasi wa CDM na anamachungu ya kutoteuliwa kwenye bunge la katiba,lazima aseme chochote
Mchakato wa katiba umeanzishwa na mwenyekiti wa CCM Rais JK , harafu akateuwa Wajumbe wa Tume na kumuchagua Jaji Warioba ambaye ni CCM na mtu wa karibu na BABA wa Taifa!!
Sasa KAKOBE anamuunga mkono Jaji Warioba ambaye ni CCM iweje wewe unatuchanganya ???
Kwani Warioba ni CDM??
Nani katapeli Mchakato wa katiba????Tapeli wa kutupwa, kuaibia maskini na wasiojiweza.....ila kuna pointi kaongea za kukubalika
Kama huwezi kusoma hapa na kuelewa basi hata rasimu ya pili ya katiba huwezi kusoma wala kuchangia mawazo humuSijui hata umeandika nini hapa, bila shaka ulipata dv 4
U dnt get it....kwani Kakobe kusimama pale tht day alikuja kama mwana cdm?..aliiweka wazi...yeye alikuja kama baba wa kiroho..na ameirudia tena..mbona Sabodo anatoa msaada kwa CDM..hamsemi ni CDM?...alafu issue hapa ni UKAWA sio CDM...unaji changanya na kutaka kutuvuruga tulioelewa..simamia ukweli kaka usiwe mnafki..CCM wanaipeleka hii nchi kwenye matatizo makubwa sana kwa uchu wa madaraka na ni kikundi cha watu wachache ndio wanaopanga huu mpango utao isambaratisha amani ya nchi!Huna kumbukumbu wewe! Kakobe alisimama hadharani pale jangwani akiunga mkono haraksti za cdm,inawezekana ww huna kumbukumbu
U dnt get it....kwani Kakobe kusimama pale tht day alikuja kama mwana cdm?..aliiweka wazi...yeye alikuja kama baba wa kiroho..na ameirudia tena..mbona Sabodo anatoa msaada kwa CDM..hamsemi ni CDM?...alafu issue hapa ni UKAWA sio CDM...unaji changanya na kutaka kutuvuruga tulioelewa..simamia ukweli kaka usiwe mnafki..CCM wanaipeleka hii nchi kwenye matatizo makubwa sana kwa uchu wa madaraka na ni kikundi cha watu wachache ndio wanaopanga huu mpango utao isambaratisha amani ya nchi!
U see...hapa hakuna anayempinga rais!..hapa ni watu wanatoa mawazo yao..warioba na tume yake butiku akiwepo wao walitumwa kuyakusanya...sasa wengi wanasema serikali tatu...ok..hiyo ndio sauti ya umma..wanataka tatu..wapeni..kakobe amesimamia hapo kwenye ukweli huo...rais kajipenyeza bungeni..mahali asipostahili kutoa maoni yake sababu muda ulishaisha na ilikuwa inawasilishwa ijadiliwe..akachafua hali ya hewa yeye na ccm wenzake...labda ulitaka kakobe asemaje sasa?...akubali uongo mchana kweupe?Jaji Warioba ni CCM na anampinga JK mwenyekiti wa CCM ambaye alimteua , sasa hapo hamsemi kuwa Warioba ni CDM
Joseph Butiku ambaye ni CCM anampinga Kikwete
Ofisi ya waziri Mkuu ambayo watendaji wake wengi ni CCM walipendekeza serikali tatu na wanamuunga Warioba!!
sasa kwa nini Kakobe akitoa maoni hayo anaonekana CCM??
Huna kumbukumbu wewe! Kakobe alisimama hadharani pale jangwani akiunga mkono haraksti za cdm,inawezekana ww huna kumbukumbu
tatizo humu ndani hivi huwezi kuchangia point pasina kumshambulia mtu? et kakobe tapeli alikutapeli nn? hv maadili kwenye ishakuwa byebye? elimu hii inyotolewa sasa haina maadili hata chembe.. nadhan wewe ni zao la hiyo elimu ya BRN hahaha Brain Receive Nothing... nisamehe kama nimekuudhi....Tapeli wa kutupwa, kuaibia maskini na wasiojiweza.....ila kuna pointi kaongea za kukubalika
Kuzungumza nako ni kazi Nivizuri kujifunza kuongea KAKOBE unayemtaja akitaka kuchaguliwa hata uraisi anashinda sembuse ukawa kazi anayofanya nikubwa zaidi ya senti za bungeni.Heshimu watu haki ya kila mtanzania kutoa maoni.ELEWA HILOKakobe ni mfuasi wa CDM na anamachungu ya kutoteuliwa kwenye bunge la katiba,lazima aseme chochote