Kakobe mtumishi wa mungu au tapeli;waumini kuandikisha malizao ,mishahara,

Kakobe mtumishi wa mungu au tapeli;waumini kuandikisha malizao ,mishahara,

Pdidy nini maana yake ? Pastor Didy, Padre Didy? Papa Didy au? haiwezekani ikawa yule mwanamuziki never unless PC yangu unanidanganya!
 
Pdidy nini maana yake ? Pastor Didy, Padre Didy? Papa Didy au? haiwezekani ikawa yule mwanamuziki never unless PC yangu unanidanganya!

Mkuu ni PONSINYORI DIDY
 
Mkuu maswali yako ni mazito, ila bado kuna vitu vingi unkown.


Ukiamka na kusimamia biblia kikamilifu pasi kufuata siasa za makanisani bila shaka utaona katoliki hamna kitu, so as other many churches,I bet unaweza kurudi kwa Kakobe na kuona afadhali!!!

ndugu yangu umeonge mambo mengi hadi umefikia point ya kujichanganya, issue haikuwa Katoliki au dini nyingi Topic inazungumzia Kakobe, basi wewe zama na jibu hoja za hizo Fomu za huyo bwana
na inavyoelekea wewe unafata dini kwa sababu umezaliwa nayo lakini sioni hata chembe yako ya kuamini hiyo biblia
 
Ahahahaaaa mambo ya kiroho.

Kwani umelazimishwa kwenda kwa Kakobe? si uhame tu!!!

Imeandikwa: Siku za mwisho zitaibuka dini/dhehebu nyingi za UONGO.

Na kweli tunaziona na huyu Kakobe ni mmoja wao!
 
Pdidy nini maana yake ? Pastor Didy, Padre Didy? Papa Didy au? haiwezekani ikawa yule mwanamuziki never unless PC yangu unanidanganya!

Mkuu ni PONSINYORI DIDY

na hiyo PONSINYORI maana yake nio nini? ni jina tu?

Pdidy nimetambua kuwa wewe ni Mkristo mzuri, ninaushauri mmoja tu kwako kuwa uwe makini sana kutoa maneno makali yenye kumpiga mtumishi wa Mungu yeyote bila kuwa na ushahidi kamili au uelewa mzuri. Unaweza kupigana naye kwa busara zaidi si kama ulivyofanya katika post yako ya kwanza ya thread hii. Kumbuka Saul alikuwa mhalifu sana, lakini David alisema "sita nyosha mkono wangu kwa mpakwa mafuta wa Bwana".

stay blessed
 
pdidy mimi naogopa mara kwa mara unapo-address MUNGU "mungu"......!
Vile vile heading yako imekaa kama vile ni mwandishi mzuri wa magazeti yetu ya "UDAKU"....!
 
Ahahahaaaa mambo ya kiroho.

Kwani umelazimishwa kwenda kwa Kakobe? si uhame tu!!!

Imeandikwa: Siku za mwisho zitaibuka dini/dhehebu nyingi za UONGO.

Na kweli tunaziona na huyu Kakobe ni mmoja wao!

IMEANDIKWA WAPIIII...? FAIR be fair please...!
 
Askofu Mkuu Kakobe anaona na macho ya nyama, yuko Mungu aliye Hai aonae mpaka miyoni na sirini. Sioni sababu ya kuandikishwa mali wakiti tunahitaji chakula cha roho. Issue za utoaji Mungu hupanda mbegu na kutuumba upya. My big problem is why using force like if our God does not exist? and He need to be helped by registration of oue income and wealth? ???????????????????????????????????????????????????????
 
Ama kweli Kakobe usanii mtupu: anajua namna ya kuwakamua waumini wake!

Yeye amevaa suti yake safi na kitambi chake: yet ukiwaona waumuni wake choka mbaya, na bado anazidi kuwakamua!
 
Mkuu maswali yako ni mazito, ila bado kuna vitu vingi unkown.


Ukiamka na kusimamia biblia kikamilifu pasi kufuata siasa za makanisani bila shaka utaona katoliki hamna kitu, so as other many churches,I bet unaweza kurudi kwa Kakobe na kuona afadhali!!!

ndugu yangu umeonge mambo mengi hadi umefikia point ya kujichanganya, issue haikuwa Katoliki au dini nyingi Topic inazungumzia Kakobe, basi wewe zama na jibu hoja za hizo Fomu za huyo bwana
na inavyoelekea wewe unafata dini kwa sababu umezaliwa nayo lakini sioni hata chembe yako ya kuamini hiyo biblia

asante kaka is just because your looking in 1-D I am looking in 3-D!
 
WAPENDWA BWANA YESU ASIFIWE;
........kwa wale wakristo na ambao si wakristo watakubaliana nami kakobe si askofu wala mchungaji ni mmoja wa wajanja wa mjini ambae amefanikiwa kuteka akili za watu wenye akili zao timamu na kuziweka mifukoni mwake...
...

PDIDY,
Wewe unataizo lako binafsi,
Tatizo si Kakobe.
Bora uwe wazi usaidiwe.
 
Ukiamka na kusimamia biblia kikamilifu pasi kufuata siasa za makanisani bila shaka utaona katoliki hamna kitu

Mkuu, huo ni mtazamo wako....laiti ingekuwa ni fact, basi huko Katoliki hakungekuwa na waumini kabisa!
 
ameanza waandike mali zao kwanza baadae atataka waache hati za mali zao kanisani!!! Kumbukeni kibwetele mwenye macho haambiwi tazama!! Bali uwona.
 
Ama kweli Kakobe usanii mtupu: anajua namna ya kuwakamua waumini wake!

Yeye amevaa suti yake safi na kitambi chake: yet ukiwaona waumuni wake choka mbaya, na bado anazidi kuwakamua!

Kwa hiyo unataka kusema kuwa kakobe ni Mnyonyaji??????
 
Tatizo ni waumini wenyewe. Nianze kwa kuwauliza swali , enyi waumini wa Kakobe , GeoDavy, etc etc wako wengi tu, mwafahamu zaka, au sadaka mnazotoa zinaenda wapi?

Mnaposema mnamtolea Mungu sadaka , za fedha , au mali ni Mungu yupi huyo mwenye kutaka pesa? Naamini Mungu hahitaji chochote toka kwetu kama yeye. Lakini ikwa Kakobe na wenzake wanawahamasiha watu watoe fedha kwamba wanamtolea Mungu ni dhambi kubwa kuliko hiyo ya kujifanya askofu .

Natambua makanisa mengine huweka wazi makusanyo ya fedha na huratibiwa na Kamati maalum . Watu huambiwa wanachangia nini, na fedha zinaenda wapi. Ndio maana utakuta makanisa yanafanya shughuli za maendeleo kama shule , hospitali na some other charity activities including gharama za watumishi . Hii ndio sadaka ninayoijua mimi.

Kakobe anajipatia fedha kwa kuwadanyanya watu. Mfano , Kama ni mtumishi wa Mungu unahitaji kujitangaza kwenye TV ? Je fedha za kulipia kipindi kimoja cha TV cha Kakobe ni sh. ngapi na anazipata wapi? Hiyo ndiyo kazi ya sadaka?

Ukitaka kujua jinsi ulivyojichanganya anza kujisingizia unamtolea Mungu sadaka, Kumbe unampelekea Kakobe hata kile kidogo ulichokuwa nacho. Tafuteni makanisa yenye mfumo wa kijamii na sio ya kifamilia au kibinafsi ili sadaka yenu iwe ya kijamii ..ebo.. Hili ndilo Mungu anataka .Bibilia ni ile ile tu na Mungu ndiye huyo huyo mmoja. Kama mmboreka shauri zenu. Endeleeni kuwapa utajiri akina Kakobe na wenzake utajiri kupitia umaskini wenu..........
 
Last edited:
Naona sarakasi zimeanza ..lol

Mimi binafsi siamini kuna justification yeyote ya muumini kuorodhesha mapato yake kwa mchungaji wako. This is absurd. Jinsi ninavyo-manage finance zangu ni Mola tu anajua, na hapaswi yeyote kuanza sarakasi za kuniconvince kwa kutumia his misplaced understanding of Biblical verses.

Ndio maana mimi nilishaacha zamani kutoa zaka sijui sadaka ili mchungaji akanunue suti kali au gari wakati kuna wahitaji mtaani wanavaa midabwada na hawajui mlo unaofuata utatoka wapi. Pesa alonijalia Mungu nashea na wenye shida na un-preveleged people ONLY. Na inapobidi kuchangia ujenzi au chochote, inabidi kiwe well documented ili nitoe mchango wangu, bila hivyo watanisikia tu kwenye bomba. Hawa wachungaji its time waige mfano wa Paulo aliyekuwa akila kwa jasho lake mwenyewe pamoja na ontransit nyingi tu za kuhubiri injili ktk mazingira magumu.
Nakuunga mkono katika hili 100% japo sinta-mhukumu kamwe atakayefanya kwa namna nyingine.
 
<.....KWA MUJIBU WA BIBLIA SUALA LA MATOLEO NI KATI YA MUUMINI NA MWENEYEZI MUNGU. ANAYEMUABUDU,NA SI SWALA LA ASKOFU WA AINA YA KAKOBE..LAKINI NDANI YA KANISA LAKE LA FULLGOSPEL MAMBO NI TOFAUTI.KAKOBE ANAFANYA BIASHARA CHAFU NA HARAMU NA ANAITAJIKA KUCHUNGUZWA ZAIDI YA DECI......NA HII NI KUTOKANA NA MAMBO YAFUATAYO YALIYOFANYIKA WIKII HII KANISANI MWAKE>



Nafikiri wewe ndugu una matatizo makubwa sana ya kiroho,jambo hili mbona liko wazi kibiblia,wewe kama ungekuwa mch na unaamini mtu asipotoa zaka kamili ni dhambi na wewe umewekwa na Mungu umsaidie huyo mtu ungemsidiaje ili apone na hata asipopona kwa matatizo yake ili damu yake isidaiwe mikononi mwako ungefanyaje hasa?????Kanisa sio chama cha kukutana tu ni kituo cha kuwasaidia wanadamu kwa msaada wa Mungu wafike mbinguni pasipo mawaa,

Mimi sio mch na sio mshirika wa kanisa kakobe lakini sioni tatizo juu ya hilo ila kama mtu ana chuki binafsi na Ask Kakobe anaweza kumnena vibaya anavyoweza lakini sivyo Mungu atakavyotazama.Suala la DECI alikuwa na haki ya kulinena kwakuwa ilikuwa ni ukweli na ndiyo maana ikawa kama kama ilvyotoikea na imewalinda waliomsikia na kutii!!ungependa akae kimya na watu aliokabidhiwa na Mungu waingie kwenye upuuzi huo????kwanini asiseme ili kuponya jamii kubwa ya nchi yetu isiingie kwenye utapeli kama huo???"AMEWAJIBIKA KAMA MLINZI WA WATU WAKE"
 
Jamani kuna kitu ambacho WATUMISHI wa Mungu wengi (ila sio wote) wanachokosea (kwa mtazamo wangu) - wanakazania sana UTOAJI na wanasahau kukazania UTAKATIFU - Mathew 5:8 - Heri wenye moyo safi, maana watamwona Mungu - Mambo ya Mungu lazima ya balance - ni kipimo kiko katika WAGALATIA 5:22 - Tunda la Roho - WATUMISHI WA MUNGU WANAPASWA KUFUNDISHA NENO LA MUNGU LENYE NGUVU YA ROHO MTAKATIFU - NA NENO HILO LITAMFANYA MTU/MUUMINI AFANYE MAPENZI YA MUNGU - Caution: Dominion Spirit is from the Devil - unaweza fikiria unafanya kazi ya Mungu kumbe ................ unataka kuwa-OWN watu ambao ni mali ya Mungu - Again these are last days - all signs show that - we have to be careful - LET THE HOLY SPIRIT LEAD HIS PEOPLE - amen
 
Sidhani kama kakobe anakosea nafkiri yuko sahihi hasa ikizingatiwa watu wake wamekata shauri na wako tayari kwa lolote; usijali sana juu ya mali,magari au mishahara bali wao wanataka uzima wa kiupako' wangetaka vitu hivyo wangehama au wakafata kule ambako hawataulizwa juu ya kuandikisha mali au mishahara' jiulize ewe mtanzania mbona unaandikisha gari,kiwanja au masuala ya mirathi kwa watu au serikali ambayo huna imani nayo' mwache kakobe' dunia!?
 
SIO NA SISEMI AMINA.....!
BISHOP KAKOBE anabaki mtumishi wa MUNGU aliye juu.....! anaweza kuwa na mtazamo tofauti juu ya jambo fulani lakini bado anabaki GOD'S SERVANT.....!
kuorodhesha mali ni utapeli...? Mbona serikali inahitaji watumishi wake waorodheshe mali zao? je na huo ni utapeli au UTAWALA BORA...?
Anachofanya mtumishi wa MUNGU aliye hai ni KUWAEPUSHA WAUMINI NA DHAMBI YA ANANIA NA SAFIRA....! au mimi ndo nasoma BIBLIA TOFAUTI NA YA WENGINE....?
WATU HAWA KATIKA BIBLIA WALIFICHA TAARIFA MUHIMU NA WOTE MAUTI ILIWAKUTA.....!
HALAFU BIBLIA KATIKA WARAKA WA YAKOBO INATUELEZA TUSIWE WEPESI WA KUNENA BALI TUWE WEPESI WA KUSIKIA.....!
TUANGALIE TUSIJEINGIA UPOTEVUNI KWA KUWA WASEMAJI.....!

SASA NASEMA BWANA YESU APEWE SIFAAAA.!


nashindwa kuelewa kwani kanisa na serikali ni kitu kimoja au???
kama mtumishi wa mungu hatakiwi kujua mali zako au vitu vyako yeye kazi yake ni kukuongoza kuelewa misingi ya dini!!KAMA UTOAJI WAKO WA ZAKA NI WA KUJIBANIA,NI KWAMBA UNAJIDANGANYA MWENYEWE NA SIO MUNGU!!KWANI ANAONA KILA KITU MPAKA NAFSI YAKO!!iweje mchungaji atake kujua mali na mihangaiko yako???JE NI SEHEMU GANI YA BIBLIA INAYOKUTAKA UORODHESHE MALI KABLA YA ZAKA??
 
Back
Top Bottom