Hahaha.. Ila na ubora pia uko pale pale.Ubabu uko pale pale. Teh teh teh
Aiseeee !!!!Aishi Manula ana bahati ya kukaa nyuma ya ukuta mzuri. Si mzuri kihivyo.
Kako achunge misumari ya ya Manula huko Stars. Sifa hiyo anayo from Azam.
ila na nyinyi yanga ile mbinu ndio nini aisee ?Kinachonishangaza, mikia wanalaumu Ajibu kuanza kwa kutoa mpira nje kuliko hata magoli waliyokosa.....
Kabla ya match ya jpil kakolanya alishacheza mechi kibao na ubora wa kazi zake watu tunaufahamu ndo maana akapata Tanzania 2.Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .
Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.
Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
Uko sahihiHuu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .
Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.
Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
Manula kama Bartez tu..kafungwa direct corner Mara ngapi????Siku Beno akifungwa direct corner naacha kuangalia mpira wa kibongo...Manula yuko overrated tu..alifungwa goli la kijinga na Malawi angekuwa Amunike angemchapa vibao...au Sports pesa fainali goli la Kagere..Kabla ya match ya jpil kakolanya alishacheza mechi kibao na ubora wa kazi zake watu tunaufahamu ndo maana akapata Tanzania 2.
Kuhusu performance ya jmos game ilimkubali tu ila ki_uwezo huwezi kumfananisha na manula
Hakuna mabeki hapo, wote wacheza ngumi tu, kama kuna MTU anabisha acheki tukio LA hiyo Wawa alivyomtwanga MTU ngumi baada kupigwa Chenga za maudhi. Same to Kotey, alafu tena hao mnawaita professional prayer wakati hata ndondo cup hawafai...Wawa na Nyoni simlikua mnawaita mababu ninyi.. Leo wamekua mabeki bora??!! Hahaha..
Unampa credit kwa mechi moja? We jamaa umezinguaHuu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .
Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.
Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
je unafuatilia soka la kibongo ?Unampa credit kwa mechi moja? We jamaa umezingua
Yanga ikishinda kwao ni kama imebebwa au hawakustahiliHao Simba wanalawama Kama nini sijui
Matokeo yao ya hv karibuni
Ndanda 0 v 0 Simba
Ndanda wachawi
Mbao 1 v 0 Simba
Mbao wachawi
Biashara 1 v 3 Simba
Walikaa kimya
Simba 0 v 0 Yanga
Yanga wachawi na kwa kuwa mashabiki wa Simba ni kama kikundi Fulani cha wahuni nao wanaamini.
Katika maisha Mungu akunyime vyote ila angalau akupe uwezo kidogo wa kufikili.
BENO ametokea wajela jela Original ( Tanzania Prisons) sio Mbeya cityKwa wanao mfahamu Beno tangu akiwa Mbeya City wanaujua uwezo wake. Pengine yawezekena umefika wakati sasa watu waujue uwezo wake, ilikuwa inanishangaza sana Yanga kumtumia Rostand kipindi kile, lakini pia kwa ufahamu wangu Beno alikuwa zaidi ya Dida na Rostand, ila ndo hivyo Nyota haikuwa upande wake
Baki huko huko Yanga,kwani hoja yako haiwezi kuwa ya mashiko pasipo kujivika uSimba?Hata mimi japokuwa ni Simba damu lakini kwa hili nakubaliana na wewe. Manula awe sub tu. Kakolanya ni bonge la Kipa
Ukweli siku zote ni mchungu...... Wewe kuniambia mimi nibaki Yanga hakutaniondolea ushabiki wangu kwenye timu ya Simba SCBaki huko huko Yanga,kwani hoja yako haiwezi kuwa ya mashiko pasipo kujivika uSimba?