Kakolanya apewe namba 1 Taifa Stars .

Kakolanya apewe namba 1 Taifa Stars .

Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .

Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.

Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
Kabla ya match ya jpil kakolanya alishacheza mechi kibao na ubora wa kazi zake watu tunaufahamu ndo maana akapata Tanzania 2.
Kuhusu performance ya jmos game ilimkubali tu ila ki_uwezo huwezi kumfananisha na manula
 
Huyu kakolanya kwani kaanza kucheza jumapili? Ubora haupimwi kwa mechi moja
 
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .

Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.

Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
Uko sahihi
 
Kabla ya match ya jpil kakolanya alishacheza mechi kibao na ubora wa kazi zake watu tunaufahamu ndo maana akapata Tanzania 2.
Kuhusu performance ya jmos game ilimkubali tu ila ki_uwezo huwezi kumfananisha na manula
Manula kama Bartez tu..kafungwa direct corner Mara ngapi????Siku Beno akifungwa direct corner naacha kuangalia mpira wa kibongo...Manula yuko overrated tu..alifungwa goli la kijinga na Malawi angekuwa Amunike angemchapa vibao...au Sports pesa fainali goli la Kagere..
 
Wawa na Nyoni simlikua mnawaita mababu ninyi.. Leo wamekua mabeki bora??!! Hahaha..
Hakuna mabeki hapo, wote wacheza ngumi tu, kama kuna MTU anabisha acheki tukio LA hiyo Wawa alivyomtwanga MTU ngumi baada kupigwa Chenga za maudhi. Same to Kotey, alafu tena hao mnawaita professional prayer wakati hata ndondo cup hawafai...
 
Timu za kijingajinga,uwanjani wanatangulia makocha,mpira ukianza unapigwa nje,wanakosa mabao ya wazi wanasingizia majini,watu wanapigana vichwa refa anaangalia.yaani ni upuuzi mtupu.
 
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .

Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.

Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
Unampa credit kwa mechi moja? We jamaa umezingua
 
Ni kweli kabisa jamaa sasa hivi yuko vizuri sana achilia mbali mechi ya juzi hata mechi zilizopita nilimuona anafanya vizuri tuache ushabiki.
 
Hao Simba wanalawama Kama nini sijui
Matokeo yao ya hv karibuni
Ndanda 0 v 0 Simba
Ndanda wachawi
Mbao 1 v 0 Simba
Mbao wachawi
Biashara 1 v 3 Simba
Walikaa kimya
Simba 0 v 0 Yanga
Yanga wachawi na kwa kuwa mashabiki wa Simba ni kama kikundi Fulani cha wahuni nao wanaamini.
Katika maisha Mungu akunyime vyote ila angalau akupe uwezo kidogo wa kufikili.
Yanga ikishinda kwao ni kama imebebwa au hawakustahili
 
Kwa wanao mfahamu Beno tangu akiwa Mbeya City wanaujua uwezo wake. Pengine yawezekena umefika wakati sasa watu waujue uwezo wake, ilikuwa inanishangaza sana Yanga kumtumia Rostand kipindi kile, lakini pia kwa ufahamu wangu Beno alikuwa zaidi ya Dida na Rostand, ila ndo hivyo Nyota haikuwa upande wake
 
BENO ametokea wajela jela Original ( Tanzania Prisons) sio Mbeya city
 
Hata mimi japokuwa ni Simba damu lakini kwa hili nakubaliana na wewe. Manula awe sub tu. Kakolanya ni bonge la Kipa
 
Baki huko huko Yanga,kwani hoja yako haiwezi kuwa ya mashiko pasipo kujivika uSimba?
 
Ukweli siku zote ni mchungu...... Wewe kuniambia mimi nibaki Yanga hakutaniondolea ushabiki wangu kwenye timu ya Simba SC
 
Back
Top Bottom