Kakolanya apewe namba 1 Taifa Stars .

Kakolanya apewe namba 1 Taifa Stars .

Kinachonishangaza, mikia wanalaumu Ajibu kuanza kwa kutoa mpira nje kuliko hata magoli waliyokosa.....
 
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .

Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.

Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .

Yaani kwa kucheza vizuri mechi moja tu ndiyo awe namba moja wa Taifa Stars???!! Khaaaaa!!!??
 
Kama hufuatilii mpira ni heri ukakaa kimya tu.

Kuna faida gani ya kufuatilia mpira halafu mtu huyo aje na hoja yenye utata? Msimu huu Kakolanya amecheza mechi ngapi? Na ni ngapi zaidi ya hii dhidi ya Simba ameonyesha kiwango kizuri? Mtu unaweza ukawa unafuatilia mpira kila siku lakini ukaja na hoja inayoweza kudhoofisha timu
 
Kakolanya bonge la kipa achana mechi ya juzi.Sitashangaa mechi ya kwanza kati ya Cape Verde na stars jijini praia anadaka Beno tarehe 12 Oct
 
Kwa hiyo mechi zote alizocheza kaboronga kaja kupatia hii ya Simba.? Amecheza mechi chache na bado ameprform vizuri. Kaa chini fuatilia mleta mada yuko sahihi kabisa.
Kunaaida gani ya kufuatilia mpira halafu ukaja na hoja yenye utata? Msimu huu Kakolanya amecheza mechi ngapi? Na ni ngapi zaidi ya hii dhidi ya Simba ameonyesha kiwango kizuri? Mtu unaweza ukawa unafuatilia mpira kila siku lakini ukaja na hoja inayoweza kudhoofisha timu
 
Class is permanent, form is temporary hatupimi golikipa bora kwa kuokoa michomo tunapima kwa clean sheets, yawezekana hajui kupanga defense Ndio maana michomo inamfikia, Ndio maana manula atakuwa Tanzania one mpaka azeeke
 
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .

Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.

Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
Ningekuwa na uwezo ningekupa hata likes mia
 
Mkuu huyu Benno bado sana.. Tumpe mda wa kuendelea kujifunza toka kwa golikipa bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini katika miaka ya hivi karibuni.. Tanzania 1, Aishi Manula.
Aishi Manula ana bahati ya kukaa nyuma ya ukuta mzuri. Si mzuri kihivyo.
Kako achunge misumari ya ya Manula huko Stars. Sifa hiyo anayo from Azam.
 
Kawaida mkuu, mbona sisi mnatuita Ndala na tunatulia tu, mambo ya utani hayo kaka, samahani lakini km imekukwaza.
Ndala linatumiwa sana na Sembo. Kuwaita mikia halali yao.
 
Kinachonishangaza, mikia wanalaumu Ajibu kuanza kwa kutoa mpira nje kuliko hata magoli waliyokosa.....
Hao Simba wanalawama Kama nini sijui
Matokeo yao ya hv karibuni
Ndanda 0 v 0 Simba
Ndanda wachawi
Mbao 1 v 0 Simba
Mbao wachawi
Biashara 1 v 3 Simba
Walikaa kimya
Simba 0 v 0 Yanga
Yanga wachawi na kwa kuwa mashabiki wa Simba ni kama kikundi Fulani cha wahuni nao wanaamini.
Katika maisha Mungu akunyime vyote ila angalau akupe uwezo kidogo wa kufikili.
 
Aishi Manula ana bahati ya kukaa nyuma ya ukuta mzuri. Si mzuri kihivyo.
Kako achunge misumari ya ya Manula huko Stars. Sifa hiyo anayo from Azam.
Wawa na Nyoni simlikua mnawaita mababu ninyi.. Leo wamekua mabeki bora??!! Hahaha..
 
Back
Top Bottom