Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
lipeni madeni ya watu bhana !Mbona hata Ninja atadaka Ikibidi na pwenti tatu ziko pale pale. Yanga habari nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lipeni madeni ya watu bhana !Mbona hata Ninja atadaka Ikibidi na pwenti tatu ziko pale pale. Yanga habari nyingine.
Siri ya point tatu kila mechi ni hayo madenilipeni madeni ya watu bhana !
Beno anaujua ndio maana akagoma... wewe unaetaka acheze bure endelea kutoa macho kwenye kazi ya mtu.Unaujuwa mkataba was Beno na Yanga? Kama ndiyo endelea kupiga filimbi, kama siyo kaa kimyaa, maana kelele zako zitakuwa ni unafiki mtupu.
Aliyeelewa alichoandika huyu mwamba anisaidie.Kakolanya angetumika na simba angachia gemu ya simba na yanga mliomwachia acheze peke yake, mwachezaji wengine wakakaa nyuma wote kugeukaabeki ,natamani gemu ya simba na yanga ingekuja mapema tuwapigeuhuri